Naomba munisaidie kunielewesha kuhusu ujenzi wenu wa barabara.
1. Kwanini pembeni ya barabara kunakuwa na mifereji mikubwa, ambayo kwa namna moja ama nyingine inachangia kuwepo kwa ajali?
2.Kwanini barabara ya morogoro road,bagamoyo road ambazo mnajenga ni nyembamba sana halafu pale ktkt mnaacha sehemu kubwa ya kuweka udogo, kwanini msiache nafasi kubwa kuruhusu magari hata matatu yapite kwa wakati mmoja?
Ni hayo tu ninayotaka kupata ujuzi toka kwenu.
Ahsante.
lugha gongana,kiswahili KITUKUZWENaomba munisaidie kunielewesha kuhusu ujenzi wenu wa barabara.
1. Kwanini pembeni ya barabara kunakuwa na mifereji mikubwa, ambayo kwa namna moja ama nyingine inachangia kuwepo kwa ajali?
2.Kwanini barabara ya morogoro road,bagamoyo road ambazo mnajenga ni nyembamba sana halafu pale ktkt mnaacha sehemu kubwa ya kuweka udogo, kwanini msiache nafasi kubwa kuruhusu magari hata matatu yapite kwa wakati mmoja?
Ni hayo tu ninayotaka kupata ujuzi toka kwenu.
Ahsante.
Naona umeshajibiwa kuwa Mradi wa barabara sio wa muda mfupi kwani magari yanaongezeka kila siku na huenda siku za baadae ikahitajika Treni za umeme za barabarani (Tram) katika barabara ya Morogoro na Bagamoyo, itabidi zipite katikati ya hiyo sehemu uliyoitaja Swali No 1 kwanini wanaweka mifereji mikubwa pembezoni mwa barabara Nianavyoona mm ingawa sio Mhandisi wa barabara ni kuwa Maji yanayomwagika barabarani iwe ya mvua au kutoka katika nyumba za watu huwa zinaharibu barabara sana hivyo km sehemu hiyo ina miinuko na mabonde lazima utaona mifereji uinakuwa mikubwa kwani inapoelekea au kumwaga ni lazima waitafutie Usawa /pimamaji/ Level Ajali haziwezi kutokea kwani Mjini kuna Speed zake kati ya 10 hadi 30 na kunakuwepo na Kingo za kuzuia ajali pia Usalama kwa waendeshaji unadhibitiwa sijui km utaridhika? hizo barabara sasa zitadumu hadi miaka 25
Nitakujibu swali lako la 2 kwa ufupi !
Ujenzi wa barabara Kama projects zingine zina stages kabla ya kufikia kitu icho ukisemacho!
Kuna mambo Kama fesibility study ,collection ya data Kama vile traffic counting na kadhalika. Hizo zote hufanywa ili kupata best design itakayokidhi hitaji ya wakati huo. Hayo yote hufanywa sambamba na budget iliyopangwa kwa project hiyo.
Kitu hicho unachokisema kinaitwa median, huwa ni part ya right of way, na yaweza tumika baadae ikiitajika kuongeza lane!, temporarily chaweza tumika kwa soft or hard landscarping ya barabara au catchoff drain area.
naona umeshajibiwa kuwa mradi wa barabara sio wa muda mfupi kwani magari yanaongezeka kila siku na huenda siku za baadae ikahitajika treni za umeme za barabarani (tram) katika barabara ya morogoro na bagamoyo, itabidi zipite katikati ya hiyo sehemu uliyoitaja
swali no 1 kwanini wanaweka mifereji mikubwa pembezoni mwa barabara nianavyoona mm ingawa sio mhandisi wa barabara ni kuwa maji yanayomwagika barabarani iwe ya mvua au kutoka katika nyumba za watu huwa zinaharibu barabara sana hivyo km sehemu hiyo ina miinuko na mabonde lazima utaona mifereji uinakuwa mikubwa kwani inapoelekea au kumwaga ni lazima waitafutie usawa /pimamaji/ level
ajali haziwezi kutokea kwani mjini kuna speed zake kati ya 10 hadi 30 na kunakuwepo na kingo za kuzuia ajali pia usalama kwa waendeshaji unadhibitiwa
sijui km utaridhika? Hizo barabara sasa zitadumu hadi miaka 25
Mkuu huko sahihi kabisa, mifereji mipana haisababishi accidents tatizo ni mwendo kasi mkubwa i.e 50+m.p.h ukiwa mjini!!! Wenzetu walio endelea wana sheria kali kuhusu mwendo wa kasi ukiwa mjini - huruhusiwi kwenda mwendo kasi zaidi ya 30m.p.h, ukijitia ujanja basi kuna camera barabarani zinapiga namba plate yako alafu kesho yake unafunguliwa mashtaka - lakini hapa kwetu hilo lina puuziwa kabisa, unaweaza kumpita traffic barabarani ukiwa kwenye mwendo kasi mkubwa lakini afanyi jitahada ya kumpigia simu wenzake ili wakukamate na kutozwa fani.