Mkono Wa Nyani
New Member
- Jan 13, 2019
- 2
- 7
Naomba tufunge mjadala kwa kupata maneno kutoka kwenye maandiko:
#pumbaKwa uelewa wangu Mdogo nilio nao Mimi nafikilia kwamba dunia ni duara. Lakini sio duara kama mpira wa miguu vile wengne wanavo sema au kama chapati, ni duara ambalo halijakamilika na ndo mana kuna milima, na pia kuna mabonde makubwa mito bahari nk
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza kabisa mkuu ukiangalia sayari zingine kupitia vyombo kama darubini{unaweza kupata chip kwa Amazon au Ebay kwa usd 200 tuu} utaweza kuona maumbo yake na pia kuna vyombo vinaenda nje ya dunia mfano cha china juzi tuu hapa na viazi kimepanda kwenye mwezi basi tunapata picha zake ukiachilia mbali space station zilizizopo kwenye mzingo wake.Habari Great thinkers
Naomba kuuliza hili maswali kuhusu Dunia. Tunaambiwa Dunia ina umbo la Tufe, Pia ni kawaida maji kukaa Square hajalishi yapo kwenye kitu chenye umbo gani.
>Nini kinafanya maji yazunguke kwenye hili umbo la Tufe la Dunia?
>Kama Dunia ni Tufe,Kwanini Mto mrefu kabisa, mto Nile unatiririsha maji kutoka ziwa Victoria hadi huko Misri
Naomba kuelimishwa wakuu.
"Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake"Naomba tufunge mjadala kwa kupata maneno kutoka kwenye maandiko:
22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;
Isaya 40:22
22 He is the one who sits on the earth's horizon; its inhabitants are like grasshoppers before him. He is the one who stretches out the sky like a thin curtain, and spreads it out like a pitched tent.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya dunia ni chini ya ardhi"Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake"
Ushubwadaaa na upuuuzi mtupuu,,,hao wanaokaaa ndani yake ni viumbe vyoteee au vyura na majongooo"
Kwa uelewa wangu Mdogo nilio nao Mimi nafikilia kwamba dunia ni duara. Lakini sio duara kama mpira wa miguu vile wengne wanavo sema au kama chapati, ni duara ambalo halijakamilika na ndo mana kuna milima, na pia kuna mabonde makubwa mito bahari nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Great thinkers
Naomba kuuliza hili maswali kuhusu Dunia. Tunaambiwa Dunia ina umbo la Tufe, Pia ni kawaida maji kukaa Square hajalishi yapo kwenye kitu chenye umbo gani.
>Nini kinafanya maji yazunguke kwenye hili umbo la Tufe la Dunia?
>Kama Dunia ni Tufe,Kwanini Mto mrefu kabisa, mto Nile unatiririsha maji kutoka ziwa Victoria hadi huko Misri
Naomba kuelimishwa wakuu.
mkuu tangu nifanye utafiti mdogo na kugundua taasisi zote zilizotufanyia utafiti na kutuaminisha kuwa dunia ni duara(kwa uduara wowote ule) nimetokea kutoiamini tena sayansi kama baba wa ukweli katika kila kitu any more. Kuna wanasayansi mbadala wa Brazil kwa mwaka 2019 wamekamilisha utafiti wao na kuthibisha kwamba dunia ni flat , haizunguki kamwe, na jua ndio linalozunguka kama ambavyo macho na akili vinashuhudia. Sasa ona;Kwa uelewa wangu Mdogo nilio nao Mimi nafikilia kwamba dunia ni duara. Lakini sio duara kama mpira wa miguu vile wengne wanavo sema au kama chapati, ni duara ambalo halijakamilika na ndo mana kuna milima, na pia kuna mabonde makubwa mito bahari nk
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekaribia mkuu, dhana ya mto kukwea mlima kwa mile nyingi huwa ni futuhi sana mzee, kuanzia hapo tu nina kila sababu sasa ya kuamini dunia ni tambarare na wala haizunguki wala kujizungusha(naenda mbali zaidi), na wala dunia sio sayari, haijawahi kuwa sayari na haitakuja kuwa sayari. China haijawahi kwenda mwezini zaidi ya maigizo tu kama yale ya JAXA, NASA n.k image wanazotupa ni COMPUTER GENERATED TU hazina ukweli wowote. Mfano evidence ya Ship Visibility tuliyodanganywa na kuimbishwa sana shule tayari hata mimi nimeproove kuwa meli huwa haitoweki kwasababu dunia ni curve bali macho yetu ndio huwa yamefika ukomo wa umbali wa kuona ndio maana tunaona horizon, ila uki apply powerful telescope unaiona meli iliyotoweka kwenye naked eyes vizuri tu.kwanza kabisa mkuu ukiangalia sayari zingine kupitia vyombo kama darubini{unaweza kupata chip kwa Amazon au Ebay kwa usd 200 tuu} utaweza kuona maumbo yake na pia kuna vyombo vinaenda nje ya dunia mfano cha china juzi tuu hapa na viazi kimepanda kwenye mwezi basi tunapata picha zake ukiachilia mbali space station zilizizopo kwenye mzingo wake.
Pili suala la mto Nile nilishajiulizaga ila jibu ni kuwa maeneo ya afrika mashariki yapo juu japo sio kaskazini kwa hio maji yanateremka kuelekea kaskazini{Mfano Ukiwa juu ya kilele cha mlima kama kilimanjaro na compas itakuonesha kaskazini ambapo ukiangalia utapaona ni chini,hivyo basi assume mto unatokea kileleni unaelekea kaskazini mwa mlima ndio uhalisia}
Nakaribisha pia wadau wengine ila kwa ufupi ni hayo tuu mkuiu
mkuu tangu nifanye utafiti mdogo na kugundua taasisi zote zilizotufanyia utafiti na kutuaminisha kuwa dunia ni duara(kwa uduara wowote ule) nimetokea kutoiamini tena sayansi kama baba wa ukweli katika kila kitu any more. Kuna wanasayansi mbadala wa Brazil kwa mwaka 2019 wamekamilisha utafiti wao na kuthibisha kwamba dunia ni flat , haizunguki kamwe, na jua ndio linalozunguka kama ambavyo macho na akili vinashuhudia. Sasa ona;
Bendera ya UN ina logo ya Dunia flat,
Bendera ya International Maritime Organization (IMO) ina logo ya flat Earth
Bendera ya World Meteorological Organization (WMO) ina logo ya Flat Earth
Bendera ya International Civil Aviation Organization (ICAO) ina logo ya Flat Earth
bendera ya World Health Organizatio (WHO} ina logo ya Flat Earth
Bendera ya United States Geological Survey (USGS) ina logo ya Flat Earth n.k.
Hii ina maana gani, safari za meli ndege zimeplotiwa kwa kutumia flat earth map sio globe map.
mpaka hapa mdanganyaji anajua na anasababu zake za kwanini anatudanganya. Binafsi sasa najua
dunia ni tambarare ipo static pasi na shaka
jua linatembea na kamwe halipo static na sio centre of solar system bali ni taa na mwanga wa kuimulikia dunia tu
jua sio nyota na kamwe nyota sio jua na nyota wala jua sio madude makuuubwa kama nasa wanavyotufanya watoto.
gravitation force ni futuhi tu n.k
Nasa hawajawahi kukanyaga mwezini na kamwe hawatawahi.
bigbabang theory ni hadithi za kwanyamazishia watoto vilizi ili wanyamaze na kucheka.