Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Nina maswali ambayo huenda nina chembe za ufahamu wake tayari na kwa kuwa nimejenga sana imani na jukwaa hili naamini kuna watakaofunguka zaidi na kuniongezea kisima cha weledi.
- Watoto wa kizazi cha leo wanakomaa haraka sana na hii nimeiona pia kwa mimea, yaani nikiangalia mfano form 4 wa siku hizi na enzi za Mzizimkavu na Mshana JR naona kuna utofauti mkubwa sana.swali la kwanza.
- Nikiangalia mabinti wengi wa leo wana matiti makubwa sana tena wabinti wadogo sana unakuta ana figure nzuri lakn ukiangalia kifuani ni HIHA........najiluliza enzi za akina Pretta ilikua saa SITA KASORO NA LEO WHY?
- Najiuliza pia wasichana kuwa na matumbo makubwa sana siku hizi.
- Najiuliza hii tabia ya ushoga siku hizi.
- Hayo ni machache tu