Ven26 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 1,069 Reaction score 2,276 Feb 17, 2023 #21 DR HAYA LAND said: Kuweni na heshima na utu Wala hamtoachika. Click to expand... Hatujalalamika kuachika, hata mwanaume anaachika ndo maana wakiwa katika kuachana mwanaume kama hajakubali kuachika vurugu zote matusi yoote kwa mkewe.....kuachika sio issue....issue ni ndugu kuingilia
DR HAYA LAND said: Kuweni na heshima na utu Wala hamtoachika. Click to expand... Hatujalalamika kuachika, hata mwanaume anaachika ndo maana wakiwa katika kuachana mwanaume kama hajakubali kuachika vurugu zote matusi yoote kwa mkewe.....kuachika sio issue....issue ni ndugu kuingilia
Ven26 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 1,069 Reaction score 2,276 Feb 17, 2023 #22 raraa reree said: Sijasema nimeibiwa cheti mm Click to expand... Ndo maana stakutag......
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,018 Feb 17, 2023 #23 Mamndenyi said: Kikipotea kaombe nakala pale ulipofungia, then nenda ofisi za vizazi na vifo utapewa nakala halisi, Waliniibia cheti changu, hawakujua kuwa na mimi ni mtu wa aina ipi. Nilitengeneza kingine, nilitumia mwanasheria so sihuhangaika Click to expand... Mamndenyi embu nieleweshe kwanza...!! Walikuibia cheti au walikuibia ndoa?
Mamndenyi said: Kikipotea kaombe nakala pale ulipofungia, then nenda ofisi za vizazi na vifo utapewa nakala halisi, Waliniibia cheti changu, hawakujua kuwa na mimi ni mtu wa aina ipi. Nilitengeneza kingine, nilitumia mwanasheria so sihuhangaika Click to expand... Mamndenyi embu nieleweshe kwanza...!! Walikuibia cheti au walikuibia ndoa?
Norbert Cheyi Member Joined Jun 11, 2017 Posts 86 Reaction score 44 Jun 25, 2023 #24 Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa?
bandeko andeko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2021 Posts 1,228 Reaction score 2,475 Jun 25, 2023 #25 Norbert Cheyi said: Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa? Click to expand... kikusaidie nini?
Norbert Cheyi said: Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa? Click to expand... kikusaidie nini?
Mansakankani mussa Senior Member Joined Feb 13, 2021 Posts 196 Reaction score 240 Jun 16, 2024 #26 Norbert Cheyi said: Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa? Click to expand... Hili swali zuli nimefatilia lkn halijajibiwa
Norbert Cheyi said: Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa? Click to expand... Hili swali zuli nimefatilia lkn halijajibiwa
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,531 Reaction score 18,727 Jun 16, 2024 #27 Ukisikia akili mgando ndio hii sasa! Norbert Cheyi said: Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa? Click to expand...
Ukisikia akili mgando ndio hii sasa! Norbert Cheyi said: Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa? Click to expand...
MR KUO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,766 Reaction score 3,972 Jun 16, 2024 #28 Mimi mke wakati anaondoka hapa kwangu aliondoka navyo vyite viwili atakuwa anavipeleka wapi huyu?