MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Kumbe watu tunatofautiana sana aiseeeee......Nimegundua mengi
Mwanaume anachukia sana swali hili iwapo anahitaji uhusiano na mwanamke hususani kipindi hiki cha kubana matumizi .... Ewe mwanamke, usimwulize mwanaume swali hili kwani utapigwa nje ya mstari soon..... ' Kaka, kwani unafanya kazi gani' kazi haihusiani na nanilihi
Wakati mwema
Kumbe watu tunatofautiana sana aiseeeee......
Mimi hakuna swali ninalo lipenda na hua nalisubiria kwa hamu kama hilo, maana hapo ndipo hua nafungia bao la mkono kwa kujikweza, kujipaisha na kujipea fully maujiko hadi mtoto anajaa, na kwa hilo swali hua nahakikisha nacheza kama pele na mtoto hachomoki kwenye vise....
Niulize swali hilo ukijua una kazi ya maana otherwize ujue nitakapo jua unakijikazi cha kisenge utakuwa umejidisqualify tayari.lazima nikuulize
Utazeekea kwenuAisee me uchukie tu lakini lazima nikuulize
Mkuu....Aisee me uchukie tu lakini lazima nikuulize
ha hahaNiulize swali hilo ukijua una kazi ya maana otherwize ujue nitakapo jua unakijikazi cha kisenge utakuwa umejidisqualify tayari.
Ukiuliza swali hilo kama wewe bado bikra litakuwa na maana zaidi, lakini kama wewe(BP)!.umetembea na wanawake wa ngapi kabla yangu!?
ha ha ha ha hili swali utafanya aahirishe kila kitu.
ukiona hupendi ulizwa inamana huna muelekeo, mwanaume anaejiamin na vitega uchumi vyake hilo swali lazima limfurahishe mana majibu yake anayoUtazeekea kwenu