Maswali ambayo UKAWA huyakimbia

Maswali ambayo UKAWA huyakimbia

Mkuu usifikirie watu wote tu wajinga kama wewe na hatujui tunachotaka kukifanya?Kasome Rasimu ya pili ya mabadiriko ya katiba utajua tunataka nini na uadui wetu na ccm umetiwa petrol na nn?

Unaamini Lowassa anatamani ile rasmu ipitishwe na aitumie kama rais? uliwahi kuona wapi mtu achague baya wakati huohuo aliache zuri pembeni? unadhani ile rasmu ikipita haya mabilioni ya pesa aliyokwisha kuyatumia toka 2012 atawezaje kuyarudisha?
 
Mkuu ninachojua mimi ni kuwa ccm kwa kuwa hawaitakii mema nchi hii na watu wake na kwa sera yake ya kukuza na kuendeleza ufisadi nchini kwa umoja wao waliikataa hii na hata kufikia kupigana au kuwapiga na kuwatukana kwa matusi ya aina zote wale walioonekana kuitetea.Hilo la Lowassa kutamani kuipitisha au laa ni swali nitakalojiuliza mwaka 2020 baada ya Lowassa na Ukawa madarakani for 5 years maana kuusemea moyo wa mtu siwezi ila kupitia ilani yao nia inaonekana.Na right tungekuwa tunaweza kujua mioyo yatu ikoje?unafikiri tungekuwa na ccm hadi leo 2015?
 
Mtoa mada wewe genius! Maswali hayo hakuna wa kuyajibu. Uwe una upload maswali haya kila siku please.

Lingine ni kuwa kampeni za mwaka huu zinapima IQ za watu jamani. Washindi wa IQ tutawajua oct 25 nao watangazwe pia ili tujue watoto wetu wanaoa na kuolewa wapi.
 
Unaamini Lowassa anatamani ile rasmu ipitishwe na aitumie kama rais? uliwahi kuona wapi mtu achague baya wakati huohuo aliache zuri pembeni? unadhani ile rasmu ikipita haya mabilioni ya pesa aliyokwisha kuyatumia toka 2012 atawezaje kuyarudisha?

Mwambie mkuu, records zinaonyesha Lowasa ni kati ya waliopinga, Sumaye ndo kabisa alienda mabali akasema ni hatari kwa amani ya taifa, Lowassa anatamani aongoze chini ya katiba hii inayompa majukumuu makubwa raisi, by the way akishinada na akaapishwa chini ya katiba hii mna uhakika atasapoti katiba mpya, wewe ni wapi umemskia akizungumzia katiba mpya, swala la katiba siyo la Lowassa wala Magufuli ni la kwetu watanzania kama unategemea Lowassa ndo akuletee katiba mpya utasubiri xana, nani hapendi madaraka makubwa bro, muangalie Mbowe pale CDM, usishangae wakichukua inchi wakakwambia hii katiba safi, kama leo wanatuambia Lowassa MSAFI unadhani watashindwa wakiamua.
 
Majibu yapo nyie magamba! Naanza
1, ccm imetokea baada ya ku merge tanu na asp hivyo ccm ilipata au ilibeba mpaka itikad za vyama mama ndio maana itikad ya tanu ya ujamaa na kujitegemea bado ccm inatambaa nayo mdomon lakn rohon ni wizi kwa kwenda simanjiro, kwa bahati mbaya nyerere aliwapenda watanzania na alikuwa anatarajia na kuamin aatapata taifa lenye nguvu na linalojitosheleza lkn alizingirwa na majiz watupu! Bahat nzuri nafasi ya uwaziri mkuu kwa nyakat tofaut aliwapa miamba miwil ya kaskazin na walitenda powa kias ambacho kilificha udhaifu wa serikal ya tanu/asp na mtoto wao magamba!lkn tulikuwa na hali mbaya
2, kama ilivyo kwa kijana kuota ndevu na binti kuota matiti ni auyomatic hivyo hivyo na miundo mbinu ingekuwepo hata kama ccm au tanu isingekuwepo ingawa hii maguful anayotamba nayo ni mibovu kuliko hata ya kina nyerere
3 tunaposema ccm haijafanya kitu tunamaanisha kuwa hiv tulivyokuwa navyo havilingan hata kidogi na utajir wa nchi na umri wa taifa
hivyo ondoken wez wakubwa nyie
Hawana majibu hao watakimbia tu.
 
Mkuu ninachojua mimi ni kuwa ccm kwa kuwa hawaitakii mema nchi hii na watu wake na kwa sera yake ya kukuza na kuendeleza ufisadi nchini kwa umoja wao waliikataa hii na hata kufikia kupigana au kuwapiga na kuwatukana kwa matusi ya aina zote wale walioonekana kuitetea.Hilo la Lowassa kutamani kuipitisha au laa ni swali nitakalojiuliza mwaka 2020 baada ya Lowassa na Ukawa madarakani for 5 years maana kuusemea moyo wa mtu siwezi ila kupitia ilani yao nia inaonekana.Na right tungekuwa tunaweza kujua mioyo yatu ikoje?unafikiri tungekuwa na ccm hadi leo 2015?

Ukawa nyote kwa umoja wenu kama mkiweza kutujibu haya maswali yetu tutakuwa tayari kuwapa sapoti ama sivyo mtatusaidia kujua kumbe hata nyie ni fuata upepo kweli
 
Majibu yapo nyie magamba! Naanza
1, ccm imetokea baada ya ku merge tanu na asp hivyo ccm ilipata au ilibeba mpaka itikad za vyama mama ndio maana itikad ya tanu ya ujamaa na kujitegemea bado ccm inatambaa nayo mdomon lakn rohon ni wizi kwa kwenda simanjiro, kwa bahati mbaya nyerere aliwapenda watanzania na alikuwa anatarajia na kuamin aatapata taifa lenye nguvu na linalojitosheleza lkn alizingirwa na majiz watupu! Bahat nzuri nafasi ya uwaziri mkuu kwa nyakat tofaut aliwapa miamba miwil ya kaskazin na walitenda powa kias ambacho kilificha udhaifu wa serikal ya tanu/asp na mtoto wao magamba!lkn tulikuwa na hali mbaya
2, kama ilivyo kwa kijana kuota ndevu na binti kuota matiti ni auyomatic hivyo hivyo na miundo mbinu ingekuwepo hata kama ccm au tanu isingekuwepo ingawa hii maguful anayotamba nayo ni mibovu kuliko hata ya kina nyerere
3 tunaposema ccm haijafanya kitu tunamaanisha kuwa hiv tulivyokuwa navyo havilingan hata kidogi na utajir wa nchi na umri wa taifa
hivyo ondoken wez wakubwa nyie

Umeeleza utumbo kweli sijui wewe ni divisio VII.mpaka aibu kamanda. Unatutia aibu mara mbili.
 
Lakini pia ingekuwa bora tufafanue. Kipindi kinachozungumzwa ccm haijafanya kitu. Ni kipindi kipi kati ya
Utawala wa Nyerere
Utawala wa Mwinyi
Utawala wa Mkapa
Utawala wa kikwete.
Wote hawa walikuwa na mawaziri wakuu wafuatao.
1) chini ya waziri mkuu Sokoine
2) chini ya waziri mkuu Malecela
3) chini ya waziri mkuu Msuya
4) chini ya waziri mkuu Warioba
5) chini ya waziri mkuu Salim
6) chini ya waziri mkuu Sumaye
7) chini ya waziri mkuu Lowasa
8) chini ya waziri mkuu Pinda
Labda tufafanue zaidi tuonyeshe kuwa tumeenda shule na sio ushabiki tuu.
 
Mkezwag#
Umeelezea vizur sana hope aliyepost atakuwa kaelewa vizur sana..
Saluut
 
Kuna watu wanasema CCM haijafanya chochote kwa miaka 54. Ni sawa tu. Ila je, somo la Civics linafundishaje? CCM ilianzishwa 1961 au 1977?
¤Kama inazungumziwa tokea TANU basi ni kuanzia 1954 (kwa hiyo miaka 61). Kama ni CCM basi ni kuanzia 1977 (miaka 38).
Kama ni kuanzia mfumo wa vyama vingi (mwaka 1992) basi ni miaka 23. Kama ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995) basi ni miaka 20.
¤Bila kujali ni 61, 54, 38, 23 au 20 kuna maswali magumu ma-3 (kama HARD TALK ya BBC enzi za Tim Sebastian)

1. Lowassa na Sumaye (walio UKAWA hivi sasa) walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Je, muda ambao CCM haijafanya lolote inajumuisha hiyo miaka 13?

2. Lowassa si anasema alisimamia shule za kata, kuvunja mkataba wa City Water, kuvuta maji Kahama kutoka Ziwa Victoria na ujenzi wa UDOM. Je, alisimamia akiwa chini ya chama gani? APPT Maendeleo?

3. Vyama vyote vikubwa na maarufu zaidi nchini vinatumia jina na sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye matangazo yao ya audio na mabango. Miaka hiyo ambayo CCM haijafanya lolote je, inajumuisha miaka 23 ambayo Mwalimu Nyerere alikuwepo madarakani kama rais (1961/1962-1985)? Je, inajumuisha pia miaka mi-5 ya ziada ambayo Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM (1985-1990)?

Kama unaakili ni kidogo sana yenye mawazo mgando lakin ambayo changes inawezekana
 
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu

Hicho ndicho ulichoulizwa? Hivyo ndivyo mnavyofeli mitihani.
 
Hii ni kudhibitisha kuwa kama mtu hana akiri ya maiti ni ngumu sana kuwa mwanaccm au shabiki wa ccm.

Naomba nikusaidie na akiri zako za maiti,
1.Ccm ilitokana na muungano wa vyama viwili(TANU na ASP) kwa maana nyingine ni kuwa wanachama waliokuwa wa TANU na ASP ndo hao hao walikuja kuwa wanachama wa ccm.
2.Sera za TANU na ASP ndo hizo hizo zilizokuja kuwa sera za ccm
3.Mwenyekiti wa TANU wa wakati ule ndiye huyo huyo ndiye alikuja kuwa mwenyekiti wa kwanza wa CCM
4.Rasilimali zilizokuwa za TANU na ASP ndo hizo zilikuja kuchukuliwa na ccm
5.Madaraka waliyokuwa nayo TANU na ASP ndo hayo hayo yaliridhiwa na ccm

Kwa kifupi kilichobadilika ilikuwa ni jina tu yaani toka TANU na ASP na kuwa CCM-Chama cha Mafisadi au Chukua Chako Mapema.

Kuhusu swala la Lowassa na Sumaye ni kwamba,matarajio ya watanzania tulio wengi ni kwamba ccm ina mfumo/system ya kuongoza nchi na watu waliomo kwenye huo mfumo/system wanafanyakazi kama timu moja.Lakini kwa maelezo yako hapo juu na hali halisi tunayoiona kwenye kampeni ,inaonesha ama ccm ilitengeneza mfumo mbovu kabisa wa utendaji serikalini kiasi kwamba si rahisi watu serikalini kufanya kazi kama team moja na ndo maana unaulizia individual achievements au kwa miaka 54 ya uhuru ccm imeshindwa kabisa kutengeneza mifumo dhabiti ya utawala na uongozi wa nchi yetu.AIBU HII AIBU HII

Kumbuka-TEAM work-Together Every one Achieves More-sasa kuulizi Lowassa na Sumaye kutofanya chochote hii ni kuivua nguo ccm

Hiyo ya vyama kutumia kutumia audio ni upofu tuliosababishiwa na ccm kiasi kwamba inaonekana katika watanzania 45 milioni hakuna mtanzania mmoja mwenye akili anayeweza kufikiri tofauti au zaidi ya Nyerere.Hii ni shida nyingine kwa mtazamo wangu tuliyosababishiwa na ccm
Yaani tunamwabudu mwanadamu mwenzetu

Mfano el angeteuliwa kuwa mgobea wa ccm agewezaje kutawala ndani ya huu mfumo? Pengine na jpm atatumia mbinu hizohizo.
 
Nikuuze nyerere alipo tabiri kwa upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm alikuwa anamaanisha nini?je unabii wake ndio huu umetimia au tusubiri tena?
 
ok ukipanga kunijibu hilo niseme hivi sio kwamba ccm haijafanya kitu ila rasilimali za nchi hii haziendani na maendeleo ya nchi hii kwa wale tumetembea unapo jitambulisha kwamba umetoka tz kwanza unachekwa alafu wanakuliiza ni ile nchi maskini ila ina rasilimali nyingi?hapo ndiko neno ccm haijafanya kitu limetokea,
 
Unajua historia ya Musa?ilibidi akae kwa farao na kulelewa ndani ya nyumba ya farao ili aje atumiwe na Mungu kuwaokoa waba wa israel,sumaye na lowasa na wengine walio toka ccm kuja upinzani wamekuja maana wamejua makosa ya ccm na wanajua mbinu na nia ya ccm sasa wanapo toka ccm inakuwa raisi kukosoa pale ccm ilikosea maana hawako ndani ya ccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom