Maswali ambayo UKAWA huyakimbia

Maswali ambayo UKAWA huyakimbia

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,857
Kuna watu wanasema CCM haijafanya chochote kwa miaka 54. Ni sawa tu. Ila je, somo la Civics linafundishaje? CCM ilianzishwa 1961 au 1977?
¤Kama inazungumziwa tokea TANU basi ni kuanzia 1954 (kwa hiyo miaka 61). Kama ni CCM basi ni kuanzia 1977 (miaka 38).
Kama ni kuanzia mfumo wa vyama vingi (mwaka 1992) basi ni miaka 23. Kama ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995) basi ni miaka 20.
¤Bila kujali ni 61, 54, 38, 23 au 20 kuna maswali magumu ma-3 (kama HARD TALK ya BBC enzi za Tim Sebastian)

1. Lowassa na Sumaye (walio UKAWA hivi sasa) walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Je, muda ambao CCM haijafanya lolote inajumuisha hiyo miaka 13?

2. Lowassa si anasema alisimamia shule za kata, kuvunja mkataba wa City Water, kuvuta maji Kahama kutoka Ziwa Victoria na ujenzi wa UDOM. Je, alisimamia akiwa chini ya chama gani? APPT Maendeleo?

3. Vyama vyote vikubwa na maarufu zaidi nchini vinatumia jina na sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye matangazo yao ya audio na mabango. Miaka hiyo ambayo CCM haijafanya lolote je, inajumuisha miaka 23 ambayo Mwalimu Nyerere alikuwepo madarakani kama rais (1961/1962-1985)? Je, inajumuisha pia miaka mi-5 ya ziada ambayo Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM (1985-1990)?
 
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
 
The tommorow people! !
Maswali haya hakuna anayeweza jibu katika makamanda wetu, kwa sababu ni ukweli mtupu. Kwa sababu tunafanya siasa za ulaghai kwa wananchi makamanda watapita pembeni kimya kimya au kubadilisha topic hii na kuleta uozo mwingine tofauti. Mimi ni mmojawapo lakini nikiulizwa maswali hayo siwezi yajibu
 
Kamanda umeeleza utumbo mtupu. Uozo wenye harufu mbaya niseme.
Labda nisaidie kuwajibia hata kama nipo upinzani lakini kwa maslahi mapana ya taifa na kuweka pembeni ushabiki ni hivi!
1)Magufuli hajaweza na wala hakuwa na uwezo wa kuhonga nyumba za serikali. Msimamizi mkuu alikuwa Sumaye kama waziri mkuu bosi wake Magufuli kipindi hicho. Sasa ukitaka ukweli zaidi muulize Sumaye upate ukweli ndio uje kuropoka
2)suala la kuhonga sijui dili la mwanamke linatuhusu nini watanzania. Si utashi wa mtu binafsi? Au wewe linakuhusuje?
3)rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa ili iweje. Sioni mantiki ya swali lako. Watanzania tubadilike tusifuate ushabiki usiokuwa na mbele wala nyuma.
Imagine mtu kama Dr Slaa kuamua kubwaga manyanga unadhani ni mchezo. Hayo mdio maslahi mapana ya taifa tunayoyataka
 
The tommorow people! !
Maswali haya hakuna anayeweza jibu katika makamanda wetu, kwa sababu ni ukweli mtupu. Kwa sababu tunafanya siasa za ulaghai kwa wananchi makamanda watapita pembeni kimya kimya au kubadilisha topic hii na kuleta uozo mwingine tofauti. Mimi ni mmojawapo lakini nikiulizwa maswali hayo siwezi yajibu
Umesema vyema,
 
Jamani wenzangu wa ukawa mko wapi tusaidiane kujibu haya maswali walau hata kujaribu tuu. Tusipite pembeni hiyo ni nidhamu y kihuni na kisanii. Tafadhalini msiniangushe. Najua angekuwa Dr Slaa au Lipumba majibu yangepatikana kibao
 
Hawa jamaa wanikumbusha kitabu cha the beuatiful one are not yet born, watu walikurupuka kufanya mabadiliko bila kujua ni nini wanataka, kesho yake wanamabiliko wakaonekana wakiendelea kupiga dili kama kawa kama dawa, naliona baada ya octoba 25, kama ugonjwa huu uliowapata watu ghafla wa kusahau haraka hautapata dawa.
 
The tommorow people! !
Maswali haya hakuna anayeweza jibu katika makamanda wetu, kwa sababu ni ukweli mtupu. Kwa sababu tunafanya siasa za ulaghai kwa wananchi makamanda watapita pembeni kimya kimya au kubadilisha topic hii na kuleta uozo mwingine tofauti. Mimi ni mmojawapo lakini nikiulizwa maswali hayo siwezi yajibu

Acha upumbavu, at wewe ni mmoja wa makamanda, makamanda wa wapi? CCM? Acha ujinga na propaganda za ccmahapa. Unadhani ukijiita Kamanda huu upuuzi wako utakuwa na mashiko. Tunawajua ccm na propaganda zenu dhaifu. Watanzania tumekomaa. Makamanda tunajifahamu. Unadhani kuja hapa na fake ID, inatuzuia sisi kukujua wewe ninani? Acha propaganda dhaifu. Tumeshaamua, Ukiweka Magufuli na Jiwe tunachagua jiwe.
 
Acha kujifariji kwa hesabu rahisi kiasi hicho, tuambie kizuri kilichofanywa na CCM. Huduma za afya, elimu nchini zikoje!, thamani ya shiling yetu ikoje! uchumi je!
 
Kuna watu wanasema CCM haijafanya chochote kwa miaka 54. Ni sawa tu. Ila je, somo la Civics linafundishaje? CCM ilianzishwa 1961 au 1977?
¤Kama inazungumziwa tokea TANU basi ni kuanzia 1954 (kwa hiyo miaka 61). Kama ni CCM basi ni kuanzia 1977 (miaka 38).
Kama ni kuanzia mfumo wa vyama vingi (mwaka 1992) basi ni miaka 23. Kama ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995) basi ni miaka 20.
¤Bila kujali ni 61, 54, 38, 23 au 20 kuna maswali magumu ma-3 (kama HARD TALK ya BBC enzi za Tim Sebastian)

1. Lowassa na Sumaye (walio UKAWA hivi sasa) walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Je, muda ambao CCM haijafanya lolote inajumuisha hiyo miaka 13?

2. Lowassa si anasema alisimamia shule za kata, kuvunja mkataba wa City Water, kuvuta maji Kahama kutoka Ziwa Victoria na ujenzi wa UDOM. Je, alisimamia akiwa chini ya chama gani? APPT Maendeleo?

3. Vyama vyote vikubwa na maarufu zaidi nchini vinatumia jina na sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye matangazo yao ya audio na mabango. Miaka hiyo ambayo CCM haijafanya lolote je, inajumuisha miaka 23 ambayo Mwalimu Nyerere alikuwepo madarakani kama rais (1961/1962-1985)? Je, inajumuisha pia miaka mi-5 ya ziada ambayo Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM (1985-1990)?

Hawana majibu hao watakimbia tu.
 
Ukiona mtu mzima anakuwa muongo ,hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10,halafu hawa wanaosema sijui miaka 50 ukokotozi wao unazingatia vigezo gani,halafu Mkapa akiwaambia ukweli wanaanza kulilia kuwa wanatukanwa,hata hizo degree za usanii wamezipata bure kwa juhudi ya serikali hiyo hiyo wanayodai kuikashifu na walikuwa wao ndio viongozi,kama huku ulishindwa basi hufai kuwa kiongozi kwa mara ya pili,hawa shidaa yao ni kupiga dili tu,kwani wametumia fedha za wafadhili wao baada ya kuwaahidi kuwalipa wakiingia Ikulu na ndio maana wanatumia nguvu zao zote kujaribu kupata hiyo nafasi ili walipe madeni,na safari hii imekula kwao tena,wengi wao baada ya October 25 watakuwa historia.
 
Hii ni kudhibitisha kuwa kama mtu hana akiri ya maiti ni ngumu sana kuwa mwanaccm au shabiki wa ccm.

Naomba nikusaidie na akiri zako za maiti,
1.Ccm ilitokana na muungano wa vyama viwili(TANU na ASP) kwa maana nyingine ni kuwa wanachama waliokuwa wa TANU na ASP ndo hao hao walikuja kuwa wanachama wa ccm.
2.Sera za TANU na ASP ndo hizo hizo zilizokuja kuwa sera za ccm
3.Mwenyekiti wa TANU wa wakati ule ndiye huyo huyo ndiye alikuja kuwa mwenyekiti wa kwanza wa CCM
4.Rasilimali zilizokuwa za TANU na ASP ndo hizo zilikuja kuchukuliwa na ccm
5.Madaraka waliyokuwa nayo TANU na ASP ndo hayo hayo yaliridhiwa na ccm

Kwa kifupi kilichobadilika ilikuwa ni jina tu yaani toka TANU na ASP na kuwa CCM-Chama cha Mafisadi au Chukua Chako Mapema.

Kuhusu swala la Lowassa na Sumaye ni kwamba,matarajio ya watanzania tulio wengi ni kwamba ccm ina mfumo/system ya kuongoza nchi na watu waliomo kwenye huo mfumo/system wanafanyakazi kama timu moja.Lakini kwa maelezo yako hapo juu na hali halisi tunayoiona kwenye kampeni ,inaonesha ama ccm ilitengeneza mfumo mbovu kabisa wa utendaji serikalini kiasi kwamba si rahisi watu serikalini kufanya kazi kama team moja na ndo maana unaulizia individual achievements au kwa miaka 54 ya uhuru ccm imeshindwa kabisa kutengeneza mifumo dhabiti ya utawala na uongozi wa nchi yetu.AIBU HII AIBU HII

Kumbuka-TEAM work-Together Every one Achieves More-sasa kuulizi Lowassa na Sumaye kutofanya chochote hii ni kuivua nguo ccm

Hiyo ya vyama kutumia kutumia audio ni upofu tuliosababishiwa na ccm kiasi kwamba inaonekana katika watanzania 45 milioni hakuna mtanzania mmoja mwenye akili anayeweza kufikiri tofauti au zaidi ya Nyerere.Hii ni shida nyingine kwa mtazamo wangu tuliyosababishiwa na ccm
Yaani tunamwabudu mwanadamu mwenzetu
 
Hayo uliyosemwa yamefanywa lowassa akiwa waziri mkuu we unavyoona ndo kila kitu ambacho watanzania wanahitaji? Au pale vijana wa ukawa wanavyosema ccm haijafanya kitu chochote unaelewana maana yao? Au unachukulia neno kitu as kitu tuu chochote ambacho kinaweza kuja akilini mwako
 
Acha upumbavu, at wewe ni mmoja wa makamanda, makamanda wa wapi? CCM? Acha ujinga na propaganda za ccmahapa. Unadhani ukijiita Kamanda huu upuuzi wako utakuwa na mashiko. Tunawajua ccm na propaganda zenu dhaifu. Watanzania tumekomaa. Makamanda tunajifahamu. Unadhani kuja hapa na fake ID, inatuzuia sisi kukujua wewe ninani? Acha propaganda dhaifu. Tumeshaamua, Ukiweka Magufuli na Jiwe tunachagua jiwe.
Babu matusi hayasaidii. Hapa tumeshachomwa sindano inatuingia la msingi ni kujibu hoja kieleweke. Unafikiri matusi ndio yatatufanya twende ikulu. Unadanganywa jitambue acha ujinga wa kitoto.hapa tunaongea kwa maslahi mapana ya mama Tanzania sio ushabiki shabiki hapa.kama huwezi sepa zako
 
Acha kujifariji kwa hesabu rahisi kiasi hicho, tuambie kizuri kilichofanywa na CCM. Huduma za afya, elimu nchini zikoje!, thamani ya shiling yetu ikoje! uchumi je!
Haya ndio nimeyasema! Badala ya kujibu hoja na wewe unaanzisha hoja yako ndani ya hoja hii. tukiambiwa sisi ni malofa na wapumbavu kwa nini ukasirike
 
Ukiona mtu mzima anakuwa muongo ,hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10,halafu hawa wanaosema sijui miaka 50 ukokotozi wao unazingatia vigezo gani,halafu Mkapa akiwaambia ukweli wanaanza kulilia kuwa wanatukanwa,hata hizo degree za usanii wamezipata bure kwa juhudi ya serikali hiyo hiyo wanayodai kuikashifu na walikuwa wao ndio viongozi,kama huku ulishindwa basi hufai kuwa kiongozi kwa mara ya pili,hawa shidaa yao ni kupiga dili tu,kwani wametumia fedha za wafadhili wao baada ya kuwaahidi kuwalipa wakiingia Ikulu na ndio maana wanatumia nguvu zao zote kujaribu kupata hiyo nafasi ili walipe madeni,na safari hii imekula kwao tena,wengi wao baada ya October 25 watakuwa historia.
Mkuu kwani Mkapa wakati rais aliwahi kututangazia kusitishwa kwa vita dhidi ya Ujinga,maradhi na umasikini?Je hii vipi hailengi kujikomboa au kulikomboaTaifa na watanzania?Udumavu ni shida sana
 
Hawa jamaa wanikumbusha kitabu cha the beuatiful one are not yet born, watu walikurupuka kufanya mabadiliko bila kujua ni nini wanataka, kesho yake wanamabiliko wakaonekana wakiendelea kupiga dili kama kawa kama dawa, naliona baada ya octoba 25, kama ugonjwa huu uliowapata watu ghafla wa kusahau haraka hautapata dawa.
Mkuu usifikirie watu wote tu wajinga kama wewe na hatujui tunachotaka kukifanya?Kasome Rasimu ya pili ya mabadiriko ya katiba utajua tunataka nini na uadui wetu na ccm umetiwa petrol na nn?
 
Babu matusi hayasaidii. Hapa tumeshachomwa sindano inatuingia la msingi ni kujibu hoja kieleweke. Unafikiri matusi ndio yatatufanya twende ikulu. Unadanganywa jitambue acha ujinga wa kitoto.hapa tunaongea kwa maslahi mapana ya mama Tanzania sio ushabiki shabiki hapa.kama huwezi sepa zako

Nimekuambia wewe hufahamu unachoongea. We ni mjinga tu na wala sio kamanda. Ni ccm, unatafuta huruma. Tunawajua kweli. At mama tanzania!!!! Utadhani unaijua hiyo tanzania unayoongelea. Ungeijua tanzani usingejiunga na wajinga wanaouliza maswali yasiyo na tija ambayo hata yakijibiwa hayaleti maana. Kwanini watu wenye Hekima na akili tupoteze muda kujibu maswali ambayo kwnza si maswali? pili hata kama ni maswali hayana maana au faida? Nenda lumumba waambie mbinu hii imepitwa na wakati. Ukawa hatuna muda wakujibu upuuzi.
 
Kuna watu wanasema CCM haijafanya chochote kwa miaka 54. Ni sawa tu. Ila je, somo la Civics linafundishaje? CCM ilianzishwa 1961 au 1977?
¤Kama inazungumziwa tokea TANU basi ni kuanzia 1954 (kwa hiyo miaka 61). Kama ni CCM basi ni kuanzia 1977 (miaka 38).
Kama ni kuanzia mfumo wa vyama vingi (mwaka 1992) basi ni miaka 23. Kama ni tokea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi (1995) basi ni miaka 20.
¤Bila kujali ni 61, 54, 38, 23 au 20 kuna maswali magumu ma-3 (kama HARD TALK ya BBC enzi za Tim Sebastian)

1. Lowassa na Sumaye (walio UKAWA hivi sasa) walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Je, muda ambao CCM haijafanya lolote inajumuisha hiyo miaka 13?

2. Lowassa si anasema alisimamia shule za kata, kuvunja mkataba wa City Water, kuvuta maji Kahama kutoka Ziwa Victoria na ujenzi wa UDOM. Je, alisimamia akiwa chini ya chama gani? APPT Maendeleo?

3. Vyama vyote vikubwa na maarufu zaidi nchini vinatumia jina na sauti ya Mwalimu Nyerere kwenye matangazo yao ya audio na mabango. Miaka hiyo ambayo CCM haijafanya lolote je, inajumuisha miaka 23 ambayo Mwalimu Nyerere alikuwepo madarakani kama rais (1961/1962-1985)? Je, inajumuisha pia miaka mi-5 ya ziada ambayo Mwalimu Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM (1985-1990)?

Duh unajikanyaga mpaka aibu.......kweli mfa maji haishiwa kutapatapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom