Maswali 11 ya utata juu ya ulipuzi wa ofisi ya kina Karume, walikuwa na lengo gani? Na kwanini ofisi hizo tu?

Kama Mamboleo angetoka interpol ningesema hawezi kuburuzwa na huyo joga la wanasiasa.....Serro......lakini Ametoka mfumo ule ule.....hopeless and poor mamboleo....hana ataloweza kufanya zaidi kuwa decoder tu remote iko Serro na Bashite........yeye hataweza hata kutuonyesha uwezo wake!!! Ameingia Lindi la kupelekeshwa n itabidi atii hana weledi tena

Hii itakuwa assignment ya kwanza kwa Bwana "mamboleo", kamanda wa kanda muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTU kama hufanyi mambo kwa kutumia critical thinking unakuwa sawa na mfu maana huwezi juwa future nini kitatokea kutokana na uliyoyatenda.
 
Kwamba anayetetea ACACIA sio mzalendo, lakini aliyeingia nao mkataba wa kufanya wanachokifanya ndiye mzalendo? Hii nchi haishangazi watu wake kuwa na kiwango cha ujinga kilichobainishwa katika matokeo ya utafiti!

Wewe ndie unakosea kudhani kuwa Mtu akiingia Mkataba wa kifisadi dhidi ya rasilimali za Nchi basi ndio inahalalisha Wewe kumtetea Huyo Mwekezaji Mwizi

Kosa Moja halihalalishi la pili
 
Jamaa kashindwa hoja sasa kamua kutuma watu wachome ofisi mimi nashauri JF na luge wasipuuzie hili ni bora waweke ulinzi mkubwa yasije tokea haya ya kuchomewa ofisi naona vijana wa lumumba wamekuja na mpya


Swissme
hakuna ushahidi wowote wa nani aliye fanya tukio hilo, ya weza kuwa ni mambo ya ndani ya kampuni, kati ya wabia wa imma, au wafanyakazi au maadui wao wa kibiashara.
na kama ni kampuni kubwa nk watoe ushahidi unaotosheleza kama wa cctv n.k na pia inaweza kuwa ni suala la kuchafuana kisiasa/na kitaaluma katika ya wahusika na watu wengine ambao kwa sasa hawa julikani
 
Shetani siku zote anataka kila mmoja awe kama yeye na kuishi kama yeye!
Māğýfool ashawahi sema anataka watu wa aina flani waishi kama mashetani...
Lakini tafsiri yake inafahamika alikuwa anamaanisha nini. Sio kisiasa kama wengine walivyomeza
 
watz tutaulizia siku mbili tatu tunasahau,hili ni tukii moja ktk kuua demokrasia...amani ni jambo muhimu jameni
 
ukweli ni kwamba jamaa nchi imemshinda, madeni yanaibuka kila kukicha kutokana na kuvunja mikataba kiolela bila kufata sheria, na anaona mwelekeo hakuna so anafanya unyama mkubwa wa kimafia . ila kila kitu kina mwisho wake, na pia ajue kuwa nayeye ana watoto hasisaau mkuu.
 
ivi hakuna dawa ya watu wasioshaurika jamani tumnunulie mpendwa wetu arudi kwenye mstari
 
Back
Top Bottom