Maswali 11 ya utata juu ya ulipuzi wa ofisi ya kina Karume, walikuwa na lengo gani? Na kwanini ofisi hizo tu?

Hata mm ningekuwa mwanasheria ningewatetea, huo uzalendo mpelekee bibi ako kijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga sana mikataba walisaini wenyewe tena kwa kupigiwe kelele sana ila waliwaita walio wataka kuacha pupa ya hiyo mikataba kua ni wavivu wa kufikiri.leo kinyago walichokichonga kina watafuna ndo wanatutaka kua wazalendo kuanzia kesho na vaa skafu ya Tanzania ili kumtia moyo mh,mwigulu
 
Jamaa kashindwa hoja sasa kamua kutuma watu wachome ofisi mimi nashauri JF na luge wasipuuzie hili ni bora waweke ulinzi mkubwa yasije tokea haya ya kuchomewa ofisi

Swissme
je unao uthibitisho ? polisi wamesema wanaendelea na uchunguzi na hawajatoa majibu nini chanzo ..... watz tupunguze kujua hadi tunaoverauthority, ujuaji wetu ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani ya nchi.
 
Eti serikali haijui kuwa ikijihusisha na ulipuzii haitahusishwa buhahaaaa.


TOKOMEZA KIKI TAIFA KWANZA
 
Unajua kwa kweli hata mimi nawachukia sana wanasheria na mawakili wa nchi hii,ni wala rushwa wakubwa sana kwa kupinda sheria hawajambo yani hata kma unaushahidi,nasema hv nimeshuhudia kwa macho mama mmoja na mumewe tena wazee wakinyimwa hakiyao ya kiwanja cha heka tano,kesi kufika mahakamani jamaa yule asiye na haki alitoa milion 20 kumpa mdogo wake mwana sheria aliyesimamia kesi walikutana mahali jamaa akashinda kesi kisheria wkt mkono wa nyuma ni hongo hawa wanasheria haswa wa Tanzania ni watu wabaya sana mchezo wanaofanya awamu iliyopita wanamshauri waziri wapige pesa yani avunje mkAtaba alafu badae wanamfuata jamaa akashtaki adai mabilioni akipewa inakuwa makubaliano zetu ngapi kwahyo kwa kuwa wanajua sheria za nchi wanazipindisha kwenye kuvunja mkataba na kuzinyoosha kwenye madai tena na mtu mgeni ili wapige pesa na wanagawana huu mchezo umekuwa maarufu sana awamu ya nne,hebu fikiri kesi ya magu akiwa wzir anakamata watu wanavua bila kibali mwisho wa siku yeye ndio mbaya anatakiwa awalipe huu ni uchizi wahali ya juu yani hawa wanasheria wabadilike kwa kweli sio wazalendo ni wauaji kabisa wanatengeneza pesa za haramu kwa kupindisha na kunyoosha sheria za nchi kwa kweli wabadilike.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uandishi wakipuuzi kabisa.. Tulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulivyoniita bwanamdogo nikuite kaka,pole naimani unajibu kwakuwa hujui ungejua chochote usingesema lolote nisijesema nikaitwa mchochezi maana hamchelewi kutupoteza has a sisi vidagaa tusiojulikana ppte

Sent using Jamii Forums mobile app
f177cb9686e5d9db8de327cddd2f0532.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni TRAILER tu.,movie yenyewe bado.,itakapobidi hata wanasheria wenyewe au migodi itapigwa mabomu tu.Hakuna aliyewahi kushindana na mamlaka akafanikiwa.Hizo SO CALLED Sheria pelekeni huko.Tumecheleweshwa sana na hao mnaoita wanasheria,haijalishi ni WA CCM au CDM,wote wapiga dili tu.
Nakubaliana na wewe mkuu 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom