Maswahibu gani ulishawahi kukumbuna nayo ukiwa katika harakati za kusaka mbususu?

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu.

Kwanza kabisa niwatahadharishe wale wakulungwa, mnaojikuta kukosoa kila uzi kusema kuwa tungekuwa tunazungumzia masuala ya maendeleo kama tunavyojadili masuala ya mbususu tungekuwa mbali, sasa nawajibu tupo vizuri hata kuliko wao alafu na mbususu tunapiga kama kawa, nendeni huko jukwaa la siasa EBOO! Huku mmefuata nini wanafiki wakubwa nyie,!

Mwaka flani nilihamia kitaa flani ivi. Kama mnavyojua town mishe kibao natoka asubuhi narudi night, mtaani wanamjua wife na watoto tu ila mzee baba ndio sionekani wala sijulikani, Sasa weekend moja hivi nipo zangu hom sijatoka nimetulia ndani, mara naskia hodi nikaamuru karibu, mara kikaingia kisu flani ivi sijawai kuona, ile kuonana tu akasita kama anataka kurudi nikamkaribisha ndani akakaa mimi nikaendelea zangu bize kucheza game kwenye PC dakika tano nyingi nikaskia naulizia vipi kaka mama flani nimemkuta, mwamba nikatoa majibu mda kidogo yule manzi kaamsha. Sikumzingatia wala nini nikaendelea na ratiba zangu,

Siku tatu mbele niko na wife mara nashangaa wife ananitania mkaka handsommmmm, nikasema huu uwaki majina gani haya tunaitana sasa, hapa ndio knifungukia kuwa kuna mdada jirani yangu alikuja akukuta hapa (hakujui) ndio alikuja kuniambia kuna mkaka nimemkuta kwako nahisi ni mwanachuo maana pale hom pia ni jirani na chuo, sifa kibao alimwambia nilivyokuwa mpole pasipokujua kama ndio mzee baba mwenyewe na anaelezewa ndio mmiliki mwenyewe

Nadhani yule bibie hakutegemea kama mimi naweza kuwa mkuu wa kaya nadhani pengine alihisi ningekuwa jitu flani ivi miraba minne hivyo hakutegemea kabisa kuwa ningekuwa mimi ndio mzee wa pale hom, baada ya wife kumaliza kusimulia nahisi alijishtukia pia ikabidi aanze kuclose up! kuwa kuwa makini huyo dada mwenyewe ni kiruka njia balaa yaani ni shida ni mda mfupi tu nimemfahamu ila maisha yake kila mme wake akitoka huwa naona kuna vijana wanakuja hapo kwao wanajifungia ndani yaani usje kujaribu

Ila kidume nikawa nimenotify maelezo mhimu nikavunga tu, sikucoment chochote pale. Kuanzia pale ndio nikawa nafuatilia yule manzi ninavyojua kwa baadae aligundua kuwa mimi ndio mzee baba cha ajabu nikashangaa tena kama mambo yamebadilika yaani akawa anaogopa hata kuja maskani alafu tukipishana ni shikamoo, nikajisemea hapa nimeshapoteza.

Sasa ikaenda anakuja hom ila kwa kipindi hiki akawa anaonekana nidham sana akinikuta. ila siku moja nikampatia target nikatafta sababu ya kutaka yy anizungushe kidogo mtaa maana nilikuwa sio mwenyeji sana kitaani kwao, akasema inawezekana pale nikaomba namba, ile anataja tu wife kaingia nikaona anavunga, hapo napo nikanotify kitu baada ya wife kutoka akataja akamaliza, picha likaanza kwenye chati mara hoo nitatafta siku mzee wangu akiwa hayupo karibu, mara mkeo akijua na mbwembwe kibao, ila nisirefushe stori, siku ya siku imefika hata kutembea hakukuwepo ilikuwa ni kukutana na kwenda machinjioni, na hapo kakawa kamchezo ka kila siku ikipatikana nafasi

Tukaenda ikafikia mda tukawa tunapiga matukio ya kushtukiza yaani tunachati dakika mbili zikipatkana nafasi imoo. Yaani acheni genye ziitwe genye unaweza hata kutembea juu ya moto akili ikiwa inawazia mbususu na usiungue yani, Genye zikifika climax hata njiani unaweza kumkunja mtu na usihofie wapita njia,

Tukio la unforgettable ilikuwa usiku kama saa nne hivi dem amenitext mshikaji wake harudi hom maana jamaa alikuwa dereva kampuni ya ujenzi mara nyingine wanapiga kazi usiku kucha, Dem akasema niende ndani kwake nikagoma tukakubaliana atoke tukutane nje kwao kuna gari bovu flani ivi lilikuwa na mme wake tukamalize cha fasta humo,sasa nikaona siwezi kutoka hom direct maana dirisha la chumban kwangu vimetozana na mlangoni kwao naweza kutoka mda wife akawa ndo anaingia chumbani akaniona dirishani ikabidi nizunguke nyuma ya nyumba, maana nilitoka kama naingia toillet nimevaa pensi na singlend tu

Mara ile nimesogea kidogo nikaona nifiche simu istoe mwanga maana kuna nyumba ya tatu jirani nilihisi kuna watu nje nikaona wasinione, kumbe kwa mbele kuna sinki la maji taka ambalo lilifunikwa kwa bati, namimi bila kujua nikapita juu ile nimekanyaga tu bati likapga kelele kochoooo, nikaona niruke kwa mbele kidogo kwa kunyata kumbe ndio naingia katikati ya lileshimo la maji taka, yaani nimetua juu ya sinki la choo nikazama nalo lote chini, na hapo wale wadau waliskia kishindo wakajua labda kibaka tu alikuwa katika harakati za kunyatia nyatia vya watu kadondoka kwa hiyo hawakujali

Ila mda wote nahangaika tayari yule mwanamke alikuwa keshafika eneo la tukio na alikuwa ananiangalia kwenye kigiza maana alizima taa zote za nje ili kurahisisha upitaji, na yeye alikuwa hana namna ya kuniokoa maana tayari ameona nimeshadumbukia kwenye sinki la maji taka(choo) na kutoka siwezi, hapa ilimbidi arudi ndani avae nguo chap kisha atoke maana alikuwa tayari keshajipanga ni kufika na kuweka waah! alikuwa na kanga moja tu.

Baada ya hapo ikabidi akimbie kwa majirani kuwaambia anahisi kuna mlevi kadumbukia kwenye sinki la choo maana alikuwa ametoka akaona mtu anadumbukia, na wale jamaa hawakumzingatia ikabidi wamwambie kama ni mlevi achana nae tu pombe alizokunywa zitamtoa zenyewe, Ikabidi tu aseme ukweli kuwa ila anahisi mlevi mwenyewe ni huyo mkaka aliehamia nyumba ya jirani maana niliona mtu kama yey, hapo ndipo kidogo ikawashawishi japo bado kishingo upande maana kwa eneo nililokuwa nakaa haliendani na mimi kudumbukia kwenye shimo la choo ambalo kimsingi hata njia ni nayopita haviendani na huwa nikirudi nyumbani walishazoea kuona Gari tu na hata hawanifahamu,

Muda huo mimi ndani hata siwazii nilimodumbukia wala kuna nini kichwani kila njia ninayotunga ya uongo haiingii akilini kichwa kinakataa la kujitetea, yaani walivyonitoa breki ya kwanza ni kuomba nipelekwe ndani, pili nikasema kuna mtu nilitoka nikamuona amejibana pembeni ya kanisa ndio nilikuwa namfuatilia.

Kwa baadae ilijulikana kuwa mtu niliekuwa namfuatilia ndie alikuwa hawala wa yule mwanamke na hawakujua kuwa nilikuwa mimi mwenyewe.

Cha ajabu sikukoma hata baada ya kupona game liliendelea sema time hii nilipita mchana nikachora raman ya kupita nikawa napita hadi nilivyohama ule mtaa nikawa mbali na yule mwanamke ndio tukawa hatuonani kukutana ikawa shida hadi tukaamua kupotezeana ila hadi kesho yule mwanadada ananitafta sema mimi nilishaamua kuachana nae,

Haya mambo yanatutesa sana na yalivyo yakiboya yaani ukishapiga kimoja tu ndio akili inakukaa sawa unajikuta unaanza kumind na kujuta upuuzi ulioufanya bada ya kuhangaika na kuhatarisha hata maisha yako kwa upumbavu aseeh!
 
Kupigwa na baridi kwa muda wa saa 1 mshkaji hatokez,naghairi nirud nae huyo ...hasirahasira mpaka room hata game halikunoga
 
asee we acha mkuu mbususu ni shida
Mbususu ya hivi ukiipata heee!! wanajuaga! wao. kwa utamu uleee!mmm! ila bana mie nilinyatiaga k, na kweli nikapata sasa kosa langu kubwa, nilivua nguo zooote! ili nifaidi mweee!... kuumbe sijui wajinga walitaka niotea!

basi bana ghafla walionikamata usiku ule walisimama mkabala na kuleee nilikoweka nguo!! mijamaa ina vigimbi hiyo km sifa vile ! eebanae ikabidi nitoke ndukiii uchi best ivoivo!!

sasa nikiwa mbioni!!! lkn faster nawaza nguo kidhiti itakuwaje? au nihame makazi kwa muda! lkn si niko uchi nitaanzaje safari???hapo sasa na yale majani nilimo pita uchi yaani mwili unawasha kinomaaa!! ..........

kuuumbe zile nguo bana demu wangu alicheza picha akazichukua yeye ili niletea sekeseke likiisha!!......... lkn sasa kumbuka palee nilipokimbia usiku ule bado niko uchi!! na sijui km nguo ziko mikononi mwa demu wangu!

ngoma nzito nitapataje nguo za kunistili manake hapa nilipo niko km mchawi kabisa, kadri navochelewa porini mida inaenda nazidi kuonekana mchawi zaidi mbele za watu km wakiniona! kumbuka hapo sasa mie ni mwendo wa vichaka tu!

huku naomba nisikutane na watu wakaniitia mchawi nikala kibano! ukizingatia kwamba maeneo yenyewe mie ni mgeni ! ila tu imetokea bahati nimetupa ndoano zangu dem kajaa! nikaenda kula mzigo! lkn sasa je inakuwaje!!!

jamani labda niseme tu ujana maji ya moto kweli...........
 
Mkuu ulivyo andika yaan kama Toto tundu lililoambiwa liandike maelezo ya kukiri kosa kwa Head master
 
Habari wakuu.

Kwanza kabisa niwatahadharishe wale wakulungwa, mnaojikuta kukosoa kila uzi kusema kuwa tungekuwa tunazungumzia masuala ya maendeleo kama tunavyojadili masuala ya mbususu tungekuwa mbali, sasa nawajibu tupo vizuri hata kuliko wao alafu na mbususu tunapiga kama kawa, nendeni huko jukwaa la siasa EBOO! Huku mmefuata nini wanafiki wakubwa nyie,!

Mwaka flani nilihamia kitaa flani ivi. Kama mnavyojua town mishe kibao natoka asubuhi narudi night, mtaani wanamjua wife na watoto tu ila mzee baba ndio sionekani wala sijulikani, Sasa weekend moja hivi nipo zangu hom sijatoka nimetulia ndani, mara naskia hodi nikaamuru karibu, mara kikaingia kisu flani ivi sijawai kuona, ile kuonana tu akasita kama anataka kurudi nikamkaribisha ndani akakaa mimi nikaendelea zangu bize kucheza game kwenye PC dakika tano nyingi nikaskia naulizia vipi kaka mama flani nimemkuta, mwamba nikatoa majibu mda kidogo yule manzi kaamsha. Sikumzingatia wala nini nikaendelea na ratiba zangu,

Siku tatu mbele niko na wife mara nashangaa wife ananitania mkaka handsommmmm, nikasema huu uwaki majina gani haya tunaitana sasa, hapa ndio knifungukia kuwa kuna mdada jirani yangu alikuja akukuta hapa (hakujui) ndio alikuja kuniambia kuna mkaka nimemkuta kwako nahisi ni mwanachuo maana pale hom pia ni jirani na chuo, sifa kibao alimwambia nilivyokuwa mpole pasipokujua kama ndio mzee baba mwenyewe na anaelezewa ndio mmiliki mwenyewe

Nadhani yule bibie hakutegemea kama mimi naweza kuwa mkuu wa kaya nadhani pengine alihisi ningekuwa jitu flani ivi miraba minne hivyo hakutegemea kabisa kuwa ningekuwa mimi ndio mzee wa pale hom, baada ya wife kumaliza kusimulia nahisi alijishtukia pia ikabidi aanze kuclose up! kuwa kuwa makini huyo dada mwenyewe ni kiruka njia balaa yaani ni shida ni mda mfupi tu nimemfahamu ila maisha yake kila mme wake akitoka huwa naona kuna vijana wanakuja hapo kwao wanajifungia ndani yaani usje kujaribu

Ila kidume nikawa nimenotify maelezo mhimu nikavunga tu, sikucoment chochote pale. Kuanzia pale ndio nikawa nafuatilia yule manzi ninavyojua kwa baadae aligundua kuwa mimi ndio mzee baba cha ajabu nikashangaa tena kama mambo yamebadilika yaani akawa anaogopa hata kuja maskani alafu tukipishana ni shikamoo, nikajisemea hapa nimeshapoteza.

Sasa ikaenda anakuja hom ila kwa kipindi hiki akawa anaonekana nidham sana akinikuta. ila siku moja nikampatia target nikatafta sababu ya kutaka yy anizungushe kidogo mtaa maana nilikuwa sio mwenyeji sana kitaani kwao, akasema inawezekana pale nikaomba namba, ile anataja tu wife kaingia nikaona anavunga, hapo napo nikanotify kitu baada ya wife kutoka akataja akamaliza, picha likaanza kwenye chati mara hoo nitatafta siku mzee wangu akiwa hayupo karibu, mara mkeo akijua na mbwembwe kibao, ila nisirefushe stori, siku ya siku imefika hata kutembea hakukuwepo ilikuwa ni kukutana na kwenda machinjioni, na hapo kakawa kamchezo ka kila siku ikipatikana nafasi

Tukaenda ikafikia mda tukawa tunapiga matukio ya kushtukiza yaani tunachati dakika mbili zikipatkana nafasi imoo. Yaani acheni genye ziitwe genye unaweza hata kutembea juu ya moto akili ikiwa inawazia mbususu na usiungue yani, Genye zikifika climax hata njiani unaweza kumkunja mtu na usihofie wapita njia,

Tukio la unforgettable ilikuwa usiku kama saa nne hivi dem amenitext mshikaji wake harudi hom maana jamaa alikuwa dereva kampuni ya ujenzi mara nyingine wanapiga kazi usiku kucha, Dem akasema niende ndani kwake nikagoma tukakubaliana atoke tukutane nje kwao kuna gari bovu flani ivi lilikuwa na mme wake tukamalize cha fasta humo,sasa nikaona siwezi kutoka hom direct maana dirisha la chumban kwangu vimetozana na mlangoni kwao naweza kutoka mda wife akawa ndo anaingia chumbani akaniona dirishani ikabidi nizunguke nyuma ya nyumba, maana nilitoka kama naingia toillet nimevaa pensi na singlend tu

Mara ile nimesogea kidogo nikaona nifiche simu istoe mwanga maana kuna nyumba ya tatu jirani nilihisi kuna watu nje nikaona wasinione, kumbe kwa mbele kuna sinki la maji taka ambalo lilifunikwa kwa bati, namimi bila kujua nikapita juu ile nimekanyaga tu bati likapga kelele kochoooo, nikaona niruke kwa mbele kidogo kwa kunyata kumbe ndio naingia katikati ya lileshimo la maji taka, yaani nimetua juu ya sinki la choo nikazama nalo lote chini, na hapo wale wadau waliskia kishindo wakajua labda kibaka tu alikuwa katika harakati za kunyatia nyatia vya watu kadondoka kwa hiyo hawakujali

Ila mda wote nahangaika tayari yule mwanamke alikuwa keshafika eneo la tukio na alikuwa ananiangalia kwenye kigiza maana alizima taa zote za nje ili kurahisisha upitaji, na yeye alikuwa hana namna ya kuniokoa maana tayari ameona nimeshadumbukia kwenye sinki la maji taka(choo) na kutoka siwezi, hapa ilimbidi arudi ndani avae nguo chap kisha atoke maana alikuwa tayari keshajipanga ni kufika na kuweka waah! alikuwa na kanga moja tu.

Baada ya hapo ikabidi akimbie kwa majirani kuwaambia anahisi kuna mlevi kadumbukia kwenye sinki la choo maana alikuwa ametoka akaona mtu anadumbukia, na wale jamaa hawakumzingatia ikabidi wamwambie kama ni mlevi achana nae tu pombe alizokunywa zitamtoa zenyewe, Ikabidi tu aseme ukweli kuwa ila anahisi mlevi mwenyewe ni huyo mkaka aliehamia nyumba ya jirani maana niliona mtu kama yey, hapo ndipo kidogo ikawashawishi japo bado kishingo upande maana kwa eneo nililokuwa nakaa haliendani na mimi kudumbukia kwenye shimo la choo ambalo kimsingi hata njia ni nayopita haviendani na huwa nikirudi nyumbani walishazoea kuona Gari tu na hata hawanifahamu,

Muda huo mimi ndani hata siwazii nilimodumbukia wala kuna nini kichwani kila njia ninayotunga ya uongo haiingii akilini kichwa kinakataa la kujitetea, yaani walivyonitoa breki ya kwanza ni kuomba nipelekwe ndani, pili nikasema kuna mtu nilitoka nikamuona amejibana pembeni ya kanisa ndio nilikuwa namfuatilia.

Kwa baadae ilijulikana kuwa mtu niliekuwa namfuatilia ndie alikuwa hawala wa yule mwanamke na hawakujua kuwa nilikuwa mimi mwenyewe.

Cha ajabu sikukoma hata baada ya kupona game liliendelea sema time hii nilipita mchana nikachora raman ya kupita nikawa napita hadi nilivyohama ule mtaa nikawa mbali na yule mwanamke ndio tukawa hatuonani kukutana ikawa shida hadi tukaamua kupotezeana ila hadi kesho yule mwanadada ananitafta sema mimi nilishaamua kuachana nae,

Haya mambo yanatutesa sana na yalivyo yakiboya yaani ukishapiga kimoja tu ndio akili inakukaa sawa unajikuta unaanza kumind na kujuta upuuzi ulioufanya bada ya kuhangaika na kuhatarisha hata maisha yako kwa upumbavu aseeh!
Ingekua mke wako ndyo anamegwa na jamaa ungejisikiaje wanaume tunafeli sana
 
Back
Top Bottom