Kasoma Pugu Sec.Sio std 7,kamaliza sec kinondoni muslim
Kasoma Pugu Sec.Sio std 7,kamaliza sec kinondoni muslim
Nchi yenyewe haijamwona wewe nan? At least kajiongeza Hajawa mjinga hata àkatupa maarifa ya maisha ile season one ya kina Abdul nilijifunza mengi alijichanganya zilizofuatia lkn siwez kuacha kumshukuru kwa nilichopata season one...pili clouds hapigi umbeya anajibrand yaan kati ya watu nawaelewa na wana uthubutu n yy ..hapana chezeya kp..Hiyo inaisaidia nini nchi? Hata kaama angekuwa na anamiliki nyumba chini ya bahari siyo ishu, ila hapa naongelea nchi kufaidika na vipaji vya Wananchi wake!
Angekuwa kwenye kipindi gani kizito?Mimi nnachosikitika ni yeye kuwa clouds kwenye kipindi chepesi namna ile.
Atakuwa anazugia ufsisiemu kuogopa kutolewa kucha,ila jamaa kanyoka sana ukikutana nae kwenye mahojiano kama unamakando kando jamaa anakumwaga hata hakopeshi.Kada Wa Ccm Huyo Japo Anajitambua Kutokana Na Kazi Zake!!!!
Masudi Yuko clouds toka miaka ya 1998/99 huko Mkuu, fuatilia historia yake, Enzi hizo hata Hilo gazeti la mwananchi halipo.