Huyo FaizaFoxy mbona anaongea broken sana!!!!Wakati nachukua first degree(still Niko na first degree) nilikiwa ninawaona watu wanaosoma masters kule Mdigrii,mara utawala wakiwa na mapamflet wako wanasoma au wamebeba wanapita. Mara nyingi ni wakati wa mitihani yao.
ukiangalia nyuso zao zinaonesha ni za watu wanaozima moto,pressure tupu.
Swali langu ni je,do they fill ile hali ya kwamba wao wana masters mioyoni mwao au ni just wanaona ni kama wako na elimu ya undergraduate? Yaani unajiona hapa ni just recognition tu. Kujifili umasters.
NB:Be subjective,usilete habari za Faizafoxy hapa kukagua tenses na kufanya personal attacks
Kwangu mimi haijanibadilisha kitu kwanza ninajuta kuisoma degree ya piliWakati nachukua first degree(still Niko na first degree) nilikiwa ninawaona watu wanaosoma masters kule Mdigrii,mara utawala wakiwa na mapamflet wako wanasoma au wamebeba wanapita. Mara nyingi ni wakati wa mitihani yao.
ukiangalia nyuso zao zinaonesha ni za watu wanaozima moto,pressure tupu.
Swali langu ni je,do they fill ile hali ya kwamba wao wana masters mioyoni mwao au ni just wanaona ni kama wako na elimu ya undergraduate? Yaani unajiona hapa ni just recognition tu. Kujifili umasters.
NB:Be subjective,usilete habari za Faizafoxy hapa kukagua tenses na kufanya personal attacks
Sitaki kujuta kama ww aysee.... Sisomi tena labda nikipata chanc ya kusoma satifiketi ya kilimoKwangu mimi haijanibadilisha kitu kwanza ninajuta kuisoma degree ya pili
Aisee hilo wazo zuri sana,tena cheti cha kilimo cha weza pia kukupotezea muda unaweza kwenda kujifunza kupitia shamba darasa.Sitaki kujuta kama ww aysee.... Sisomi tena labda nikipata chanc ya kusoma satifiketi ya kilimo
Eti eeeh!! Ila kweli manaake kupoteza muda na asignment ambazo sio concern yangu nalo ni kupoteza muda vile vile,,, ntakufanyia kazi wazo lako soon!! Thx sanaAisee hilo wazo zuri sana,tena cheti cha kilimo cha weza pia kukupotezea muda unaweza kwenda kujifunza kupitia shamba darasa.
Hueleweki. We unajisikiaje kusoma degree?Wakati nachukua first degree(still Niko na first degree) nilikiwa ninawaona watu wanaosoma masters kule Mdigrii,mara utawala wakiwa na mapamflet wako wanasoma au wamebeba wanapita. Mara nyingi ni wakati wa mitihani yao.
ukiangalia nyuso zao zinaonesha ni za watu wanaozima moto,pressure tupu.
Swali langu ni je,do they fill ile hali ya kwamba wao wana masters mioyoni mwao au ni just wanaona ni kama wako na elimu ya undergraduate? Yaani unajiona hapa ni just recognition tu. Kujifili umasters.
NB:Be subjective,usilete habari za Faizafoxy hapa kukagua tenses na kufanya personal attacks
Do mkuu ulisomea master IPI ili tujifunze?Kwangu mimi haijanibadilisha kitu kwanza ninajuta kuisoma degree ya pili
Hapo penye nyekundu: Kama umeifanyia kazi lazima utajitambua kuwa una masters-course work huwa inakuwa juu ya undergraduate na utafiti hukomaza ubongo (ukiacha wale tunaoambiwa wanachakachua-ambayo si rahisi kama una walimu makini). Unatumikaje ukimaliza na kama inakuongezea kipato hiyo ni habari nyingine na inategemea kama umeajiriwa au umejiajiri na mzigo unapiga wapi. Pale nilifanyia kazi niliona wengi wakirudi au wakipata masters zao wanaimarika kikazi na opportunities za kufaidika zinaongezeka. Pressure wakati wa kusoma ni kitu cha kawaida especially inapofika wakati wa mitihani kwani kuna kudisco pia hivyo ulichokiona kinaakisi ukweli huu. Lakini hii isikatishe watu tamaa ionekane kama changa moto tu. Heri na fanaka.Wakati nachukua first degree(still Niko na first degree) nilikiwa ninawaona watu wanaosoma masters kule Mdigrii,mara utawala wakiwa na mapamflet wako wanasoma au wamebeba wanapita. Mara nyingi ni wakati wa mitihani yao.
ukiangalia nyuso zao zinaonesha ni za watu wanaozima moto,pressure tupu.
Swali langu ni je,do they fill ile hali ya kwamba wao wana masters mioyoni mwao au ni just wanaona ni kama wako na elimu ya undergraduate? Yaani unajiona hapa ni just recognition tu. Kujifili umasters.
NB:Be subjective,usilete habari za Faizafoxy hapa kukagua tenses na kufanya personal attacks
Ukweli ni kwamba taaluma nyingi zinahitaji practical nyingi ndio mtu anakuwa competent...Aisee hilo wazo zuri sana,tena cheti cha kilimo cha weza pia kukupotezea muda unaweza kwenda kujifunza kupitia shamba darasa.
Ndio maana kuna wanaopataga A,B,C ,D,E ,Fe.t.c. kwenye mtihani huo huo. wenzio wameelewa,wamechangia. What is your comment on that?Tanzania yangu hii akina daudi wapo wengi....ulichoandika rafiki yako daudii pekee ndiye anayeweza kukuelewa