Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
- Thread starter
- #21
Mkuu kwamba zikitangazwa nafasi za HR mtu aliyesoma public administration anaweza kuomba?Bila Shaka UDSM umesulubiwa na kina Dr jingu, Dr Lupa, prof Makulilo,dr Bana, prof Chaliga,Dr Bruce Hellman, marehem prof Liviga na magundaz wengine wa idarani!
Nenda kasome HRM! Kimsingi HRM na MPA kazi zake na fursa zake zinafanana tu
