Masters ya Public Administration au Human Resources?

Masters ya Public Administration au Human Resources?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,466
Wakuu nauliza hapo ni ipi masters nzuri yenye fursa na upana katika fursa kwa taasisi binafsi na zile za umma kati ya Masters of arts in Public administration (UDSM) au masters of Human resource management (Mzumbe)

Karibuni kwa ushauri
 
Write your reply...sina utaalamu sana na hizi courses, ila kazi zake zinafanana, cha msingi chukua uipendayo
Mkuu ahsante sana mpaka kuziletea hzi jukwaani ni course ninazozipenda sema natafyta best hasa kwa upande wa fursa
 
Angalia malengo yako yaendane sanjari na kitu unachokitaka either of both n best kutokana goals zako
Mkuu course zote nazipenda isipokua nimeleta hapa jukwaani ili nisaidiwe ni ipi yenye fursa pana zaidi ya nyingine
 
Ebu nijuze ud kukoje kwa masters jmn
Siamini kama uko committed unaweza kushindwa, maana hats wakat tunapenda pale kuchukua bachelor tuliambiwa hivyohivyo lkn tulitoboa. I don't care about that naamini haiwez kushindikana
 
Wakuu nauliza hapo ni ipi masters nzuri yenye fursa na upana katika fursa kwa taasisi binafsi na zile za umma kati ya Masters of arts in Public administration (UDSM) au masters of Human resource management (Mzumbe)

Karibuni kwa ushauri
Nenda Mzumbe Moro ukapige MSc HRM ukasulubiwe na prof itika
 
Nenda Mzumbe Moro ukapige MSc HRM ukasulubiwe na prof itika
Mkuu habari ya kusurubiwa sina shaka, nimezipata hizo surba mlimani maana napo wapo wanaojua kusurubu hata hvyo nikienda Mzumbe nataka ni apply campus ya Dar, nachokitaji hapa ninkujua ipi ina fursa pana kuliko nyingine
 
Bila Shaka UDSM umesulubiwa na kina Dr jingu, Dr Lupa, prof Makulilo,dr Bana, prof Chaliga,Dr Bruce Hellman, marehem prof Liviga na magundaz wengine wa idarani!

Nenda kasome HRM! Kimsingi HRM na MPA kazi zake na fursa zake zinafanana tu
 
Back
Top Bottom