Masters ya History

Hahahah dah huyu Sumbai sitamsahau kabisa kidogo anirudishe September conference huyu jamaa the way alivyo na masendozi yake hajijari kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah dah huyu Sumbai sitamsahau kabisa kidogo anirudishe September conference huyu jamaa the way alivyo na masendozi yake hajijari kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
We!! Naomba kujua kwani Masters nayo ina SUP Kama ilivyo Degree au hiyo September conference ni nini maana kwa Degree ndio wakati huwa SUP zote hufanyika thus a way waitaga September conference

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu vipi kama mtu mwenye bachelor ya BAED(HISTORY/KISWAHILI) akitaka kusomea MASTERS OF EDUCATIONAL IN MANAGEMENT AND ADMINISTRATION. Hivi vipi nayo haina deal. Ila mie na G.P.A ya 3.8 Nipe ushauri hapo. Na kati ya hiyo digrii Hizi ipi poa Human resources management, Procurement and logistics management na Business Administration ipi poa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani maswali yako unavyoyailiza nadhan hata hiyo bachelor haijakusaidia

Before anything ungesoma kwanza hata prospectus ya Udsm zipo online zote za undergraduate na postgraduate....maswali yako yote yanajibiwa humo!!!

Then, what is that you call bachelor of education yenye History na Kiswahili?? Is not that a bachelor of Arts with Education!!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masters kuna supplementary kama undergraduate pia Ku disco kupo. Pia assignments zila alama hamsini na UE alama hamsini
We!! Naomba kujua kwani Masters nayo ina SUP Kama ilivyo Degree au hiyo September conference ni nini maana kwa Degree ndio wakati huwa SUP zote hufanyika thus a way waitaga September conference

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kirefu cha BAED ni Bachelor of arts with education..... Na hii lazima usome masomo mawili ya kufundishia moja linakuwa major na lingine minor....Mimi nilimajor kisw na minor hist. Ila wanaosoma BED...bachelor OF EDUCATION WANASOMA SOMO MOJA TU LA KUFUNDISHIA NA HAWA MARA NYINGI WALIKUWA WANAPANGWA KUFUNDISHWA VYUO VYA DIPLOMA YA UALIMU( ILA ZAMANI) KWASASA WANALETWA MPAKA SEKONDARI. UMENISOMA HAPO??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia naomba Msaada kwa mtu yeyote anayekijua Chuo kinachotoa Kozi za Safety, fire fighter anijulishe maana nine search nimeshindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kozi za safety? Una maanisha Health and occupation safety management? Kama ni ya namna hio basi hio kozi haitolewi independent kwa ngazi ya diploma au degree Bali inakuwa Kama embedded kozi kwenye baadhi ya kozi za degree za afya na engineering zinazohusisha field work.
Short cut yake unaweza kwenda OSHA wao wanatoa short course zake na vyeti wanatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo serikali hawaajir watu wenye masters tu labda kama ulishafanya bachelor ya kozi hiyo, vinginevyo labda wakuazime kwa muda idara husika kama wanauhitaj.

Kama upo serikalini na unataka kusoma bora ufanye master ya education tu. Ila nakushauri soma hzo kozi ulizotaja kwa level ya bachelor itakulipa zaidi. Halmashaur nyingi zimepungukiwa na maHR, wagavi na wahasibu kwan wengi wao walitumbuliwa kwenye uhakiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ehh hii ni noma Sana Mimi nilidhani huko hakuna haya Mambo ya SUP

Asante Sana kwa haya maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pathways 2 1.Coursework n dissertation 2.Research and thesis.Ya kwanza kuna sup usipofikisha B=≥50 marks pia ukiweza kuwakwepa dissertation unao usipowapa hela nzur wakufanyie proofreading looh utarudia hata miaka 2 haad uende nao sawa.Kwa udsm hio ya #2 noooo usisome kama sio staff wao hutamaliza.Udsm hawasaidii wanafunz baaal wanakuongezea shiida ili wazitatue wao wenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
masters ya hizo kitu ipo sua ila by research.Tatzo la sua hawako up to date hawareview prospectus yao annually.Ila ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…