Weye jamaa (Division Delmont) mbona una akili ya kitumwa....!! unadharau udom kwa sababu gani...? ndo mlivo wabongo ukiona mapungufu unaanza midharau badala ya Ku-fight for changes...! Ivi nani kawaloga nyinyi...? Mtakaa mnalalamika mpaka lini...? Badilisheni misimamo tafadhali!