Wanaharakati wenzangu naombeni msaada kwa anayefahamu application form za masters za vyuo hivi zinatoka lini na qualifiction zao ni zipi yan wanachukua GPA ya ngapi?UDOM,MZUMBE,&ST AGUST YA MWANZA
Hiv na UDOM wameanza kutoa masters? Duh! kasheshe mjini...... ila mi najua Mzumbe kuanzia kwenye mwezi wa nne hiv na kuendelea..... Na SAUT nao wameanza kutoa masters siku hiz?... kha! Hatari Nungwi meli inataka kuzama sasa...!

Unataka kusoma masters yanini?? Je unataka kuunganisha au unatokea kazini?? Vitu vyote hivyo vinamata.
Mzumbe kama unataka kuunganisha uwe na gpa 4 kuendelea.