Masters of Public Health(MPH)

Masters of Public Health(MPH)

Shadow120

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Wadau, kuna kitu najiuliza kuhusu MPH ya MUHAS. Kwa miaka mitano mfululizo now naona watu wengi sana wanaiappky kulingana na Masters degrees nyingine. Hii imepelekea mimi kujiuliza swali je ni kwa sababu gani watu wanaikimbilia hii course?? Kwa wingi wa wanaoiapply na waliograduate nikafikiri may be soko lake litakuwa saturated but naona still watu wanaing'ang'ania. So swali langu kubwa ni kwanini watu wanaikimbilia hii course??
 
Follow the money: Mpunga mwingi wa wafadhili uko kwenye afya ya jamii kuliko kwenye clinical medicine.
 
Back
Top Bottom