Masters masters nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masters masters nje ya nchi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Advocate J, Jul 13, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  wana jf naomba mnisaidie jinsi gan ninaweza kusomamasters nje ya nchi? vip ninatakiwa niwe na class gan ktk firstdegree!
   
 2. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unataka kusoma nchi gani? kitu ni simple sana mkuu tafuta kwenye net tafuta vyuo katika nchi inayohusika ambayo unataka kwenda kila chuo kina utaratibu wake. kwa mfano uk, usa, canada na australia details ziko wazi kabisa so wala usijichoshe mkuu
   
 3. Trueboy

  Trueboy Senior Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
 4. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Sasa si utatakiwa ufanye mitihani ya g.r.e
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu degree yako ya kwanza ulisomea nini?Naomba tuanzie hapo
   
 6. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Mim ni form6 tu! Ila nna mpango baada ya degree ya kwanza nikafanye masters nje mambo ya procurement
   
 7. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  anza kwanzakusoma hiyo first degree,maana ni miaka mitatu ,then ukiwa mwaka wa tatu ndo kuuliza hili swali!miaka mitatu mingi sana,huwezi jua,unawea ukawa na wazo tofauti na hili la sasa!
   
Loading...