Masters ipi ya Social Sciences ni nzuri?

KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
824
1,032
Mambo vipi Wadau

Nimemaliza Bachelor of Science Economics

But sina ndoto za kufanya kazi kwahivisasa hivyo
Naomba kujua ni Masters gani yenye labor-market kubwa zaid hasa hizi za Social Science.

Maana bado nataja nijiendeleze kwa level ya Masters then maswala ya Ajira baadaee..

Naomba msaada wa hili jambo.
 
Tumia elimu uliyonayo sasa kugundua soko liko wapi au ajira ziko upande gan. Maana bata masters utafanya research kwa kitu kipya
 
Kasome masters in applied economics udsm au Agricultural applied economics sua uje ule mema ya nchi but Kama unataka abroad zipo pia.
 
Back
Top Bottom