Tanzania kuna chuo kinachotoa Master of Arts in Special Education.....?? nauliza?Nitapanga hapa Na wewe utakuja Na list yako according Na vIgezo vyako.
1. Masters in project Management
2. Masters in Education Administration and Planning policy
3.Masters in Public Health
4.Masters in Logistic Management
5. MBA in Finance, Accounting,Procurement
Naomba kuuliza,kuna chuo chochote Tz kinatoa Master of Arts in Special Education....??Masters ya education faida yake no moja tu daraja litaendelea kupanda mbali na hapo sidhani kama inalipa kulinganisha na hizo nyingine
Mmh simfahamu kwakweli, unaweza tembelea website za vyao mbalimbali kuchekiNaomba kuuliza,kuna chuo chochote Tz kinatoa Master of Arts in Special Education....??
Check opening university nafikiri niliona iyo kitu.Mmh simfahamu kwakweli, unaweza tembelea website za vyao mbalimbali kucheki
Binafsi simshauri kabisaaaa huko kwenye education,kwa sababu hata akiisoma kama yupo serikalini haitaongeza kitu,atasubiria daraja,wakat baadhi ya kada akirud na masters na stories zinabadilika hapo kazini,promotion fasta.Masters ya education faida yake no moja tu daraja litaendelea kupanda mbali na hapo sidhani kama inalipa kulinganisha na hizo nyingine
Engineering like CoET wanatoa ila pia Dept of Geography wanatoa,hapo nazungumzia UDSMNaitamani sana #1 sema sina background ya engineering
Asante kwa info mkuu, je unafahamu course requirement? Like what background should I have to qualify for it.Engineering like CoET wanatoa ila pia Dept of Geography wanatoa,hapo nazungumzia UDSM
Course inaitwa Project Planning and Management ni evening program
Mdau ile cousre haina requirements,maana ni ya Social Science.Kama una back ground ya sosho science unaweza soma tu.Asante kwa info mkuu, je unafahamu course requirement? Like what background should I have to qualify for it.
Ni wazo zuri mdau umetoa,hop watu watasoma hapa,ila hizo 7 hazitolew kwa mkupuo,na bado kusoma kuna logic.UOGA WA KUJIAJIRI HIYO ADA YA MASTERS MILIONI 7 UKIFUGA KUKU LAZMA UTOKE KIMAISHA
MSAADA:
Masters of Arts in Mass Communication
Ina SOKO kibongobongo?
Ipo Mkuu. Chuo Kinaitwa SEKOMU. Kipo Lushoto,TangaNaomba kuuliza,kuna chuo chochote Tz kinatoa Master of Arts in Special Education....??
Karibu, kwasasa nipo dodoma nakunywa dompo na kula zabibu
Nadhani hii masters italipa endapo serikali itaweka bayana kwamba mtu akiwa nayo apande daraja moja kutoka lile alilopo maana kwa sasa unapata increment mbili ambapo hailingani na maarifa unayoyapata na matumizi ya shule hii uwapo darasani au kwenye administration postMasters ya education faida yake no moja tu daraja litaendelea kupanda mbali na hapo sidhani kama inalipa kulinganisha na hizo nyingine
WHY NIROGWE MKUU??Ina Soko Kwa Nchi Zilizoendelea Tu Mkuu Ila Kibongobongo Utaishia KUROGWA.