Ahsante ndg. Naitazama zaidi UoI karibu sana kwa mawazo zaidi ya kujengaUmeomba/unatarajia kuomba chuo gani?
Nimepata chuo master of arts with education, DUCE. Bado sijapata ruhusa kutoka kazini, Tunaweza kupeana maarifa kidogoAhsante ndg. Naitazama zaidi UoI karibu sana kwa mawazo zaidi ya kujenga
MAeD hiyo. Kila lakheri Bro sometimes kusoma ni kupumzika na hizi karaha za kazi.Nimepata chuo master of arts with education, DUCE. Bado sijapata ruhusa kutoka kazini, Tunaweza kupeana maarifa kidogo
KabisaMAeD hiyo. Kila lakheri Bro sometimes kusoma ni kupumzika na hizi karaha za kazi.
Ticha una mikwara sana na bachela yako ya ualimu ungesoma kozi za kiume sijui ungetuchambaje.....ukiwa na hata C ya basic mathematics o level kuna 100k tsh.Masters of education in assessment and evaluation.
Naomba Tushauriane wanazuoni hii kozi nahitaji kuongeza ujuzi. kabla sijajitosa rasmi, kama yupo wa kuniboreshea kwa kujenga kozi nyingine nzuri zaidi nakukaribisha sharti iwe Education tu. Bachelor yangu ni Education. Kwa wale walamba nyau usinishauri kutafuta hela mimi nataka kusoma tu, zaidi uzi unawahusu Master holders nakuendelea. Bachelor Degree kushuka chini si dhani kama una cha maana zaidi though sijakutenga.
Mimi nitampa 1000k kama ana D ya hesabu au physics O level.Ticha una mikwara sana na bachela yako ya ualimu ungesoma kozi za kiume sijui ungetuchambaje.....ukiwa na hata C ya basic mathematics o level kuna 100k tsh.
Naona watu mmeamua mumpopoe jamaaMimi nitampa 1000k kama ana D ya hesabu au physics O level.
Je umeshakula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S?Masters of education in assessment and evaluation.
Naomba Tushauriane wanazuoni hii kozi nahitaji kuongeza ujuzi. kabla sijajitosa rasmi, kama yupo wa kuniboreshea kwa kujenga kozi nyingine nzuri zaidi nakukaribisha sharti iwe Education tu. Bachelor yangu ni Education. Kwa wale walamba nyau usinishauri kutafuta hela mimi nataka kusoma tu, zaidi uzi unawahusu Master holders nakuendelea. Bachelor Degree kushuka chini si dhani kama una cha maana zaidi though sijakutenga.
Hayo masomo hajasoma niamini mimi alikimbia form 2.Mimi nitampa 1000k kama ana D ya hesabu au physics O level.
Ticha baada ya kupigwa na vumbi la chaki anatuambia wenye bachelor tukae chonjo hatuna cha kumshauri...Naona watu mmeamua mumpopoe jamaa
Unaposema kazini unamaanisha ni mtumishi wa umma.Nimepata chuo master of arts with education, DUCE. Bado sijapata ruhusa kutoka kazini, Tunaweza kupeana maarifa kidogo
Wale walamba nyau nilikuwa nawazungumzia naona umejitokeza hadharani sasa nimekupuuza brazaTicha una mikwara sana na bachela yako ya ualimu ungesoma kozi za kiume sijui ungetuchambaje.....ukiwa na hata C ya basic mathematics o level kuna 100k tsh.
Yeah ni mtumishi wa umma, Kwa sisi tulio taasisi za elimu ya juu master's degree au PhD ina-matter sana, mchawi ruhusa tu hapa...Unaposema kazini unamaanisha ni mtumishi wa umma.
Kama ni kweli ....
We soma chochoteee ili mradi upo kwenye mstari wa elimu ya muundo wako wa ajira.
Mambo ya nisome nini serikali haina, utumishi huulizia vyeti hawaangalii content ya elimu yako.
Kuna sisi tuna masters mpaka zina expire ila hatujaona umuhimu wake, tumeambiwa TUSUBIRI..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kaza tako uachane na chaki mna maisha magumu sana walimu wa TZ.Wale walamba nyau nilikuwa nawazungumzia naona umejitokeza hadharani sasa nimekupuuza braza
ππππTicha una mikwara sana na bachela yako ya ualimu ungesoma kozi za kiume sijui ungetuchambaje.....ukiwa na hata C ya basic mathematics o level kuna 100k tsh.
Wewe ni mpumbavu sanaMasters of education in assessment and evaluation.