Wakuu salamu
kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa yeyote ambaye angependa kujifunza AUTOCAD BASIC as aided design kwa ajili ya kazi zako za kila siku hasa kwa TECHNICIANS NA ENGINEERS unaweza nitafuta muda ni wikiend kwa yeyote atakayeguzwa anaweza kunitumia private message(PM) tukarrange utaratibu
napatikana dar ..