Mastering AutoCAD Civil 3D 2011

Mastering AutoCAD Civil 3D 2011

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,876
Reaction score
6,894
Habari wadau!

Nipo consulting company lakini kwa upande wa supervision kwa hiyo experience ninayo gain nikuhusu road construction.
Sasa nimejaribu kuji train kufanya designing kwa kutumia hiyo program ili kuongeza ujuzi katika ulimwengu wetu wa civil engineering.

Kuna mambo ambayo yananitatiza ambapo kwa anayejua naomba ku share ujuz.
  1. kudesign alignment kwa usahihi zaidi
  2. kudesign profile kwa usahihi zaidi

Ahsanteni.
 
Wewe unafika stage ipi? Umeweza ku create contours?
 
mkuu nina coordinates za centre line na ground levels, baada ya ku import nikawa nachora surface then nachora profile ya ogl . sijawahi ku create contours. Mkuu ni data zipi zinazohitajika na steps to follow katika kufanikisha hivo vitu.
 
Habari wadau!

Nipo consulting company lakini kwa upande wa supervision kwa hiyo experience ninayo gain nikuhusu road construction.
Sasa nimejaribu kuji train kufanya designing kwa kutumia hiyo program ili kuongeza ujuzi katika ulimwengu wetu wa civil engineering.

Kuna mambo ambayo yananitatiza ambapo kwa anayejua naomba ku share ujuz.
  1. kudesign alignment kwa usahihi zaidi
  2. kudesign profile kwa usahihi zaidi

Ahsanteni.

Nipm mzee ili.twende.sawa
 
Lynda.com wanatutorial nzuri sana hadi videoz, tafuta torrents zao kwani kwenye site yao lazima ulipie ndio uzipate.
 
Back
Top Bottom