Master Kubwa Dodoma Mjini Inapangishwaa...

Food Scientist

Senior Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
102
Reaction score
185
Kwa mnao hakia Dodoma,
Nakipangisha Chumba changu hapa Dodoma mjini karibia na Rainbow/ Malaika Lounge.

Hiki chumba nilikikarabati a kuingia mkatabaa na mwenye nyumba.
Gharama za matengenezo ndio zikaingia kwenye kodi ambayo ni kodi ya Miezi 16 kwa kodi ya 130,000 na jumla kuwa 2,150,000Tsh.
Nimekaa miezi miwili.

Mkataba ulianza Decemba 12 mwaka jana na utaisha April 12 Mwakani.

Chumba ni Master na kikubwa sanaaaa, ni 5M kwa 5M, unaweza weka kila kitu.

Kina Tiles, gypsum.

Kwasasa nahamishwa Hivyo nahitaji kumwachia mtu anirudishie ela.

Karibuni.

0764799179

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mpe mtu akae kwani mpaka urejeshe hela? ulifanya kwa hiari mpe mtu hapo dom akae kwa hiari au mpaka ukose wa kumpa ufunge ndio ujanja kodi mpaka iishe?
 
Ahaa
Kumbe mwanza,
Njoo dodoma. Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Food scienntist acha uongo kabiisa Makole hakuna chumba chenye hadhi ya shi 130,000/
nyumba nyingi hapo ni tope tupu na wamekarabati juzi tu hakuna miaka mitano tena viguest vichache kwa ajili ya kubandua vitoto vya CBE,
Huyo mzee kwanini umemjengea? kwanza hatakubali umpangishe mtu mwingine
pili hatakubali ubandue chochote
ni bora ungeenda Kisasa Area C, Area D au Ipagala kupanga nyumba nusu kwa 150,000/
Makole ni fujo tu za vijana na vimwana lakii usalama na Afya hakuna kabisa
Pole kuna nyumba nzima self (Master 1) vyumba vi3 car park gate nk hapa nyuma ya uwanja wa ndege sh 200,000/ kwa mwezi
 
Mkopo huo, ameanza kukonda taratibu baada ya kugundua kaingia mkenge, hakuna cha uhamisho hapo. Chumba kimoja 130,000! duh.
Kwa maeneo ya rainbow, malaika pub ndio bei yake kwanza pale lodge kibao, mwenye nyumba anaweza fanya lodge sema cbe wanafunzi ni wengi
 
Alafu pale rainbow kuna guest house na nyumba fulani kwa nyuma ya super maketi wamepanga Malaya tupu, yaani kuna siku nilienda mitaa hiyo mara nyingi ni makahaba wa kushanta, hao wanafunzi wa chuo cha CBE sasa ndio wanatom**eka balaaa, niliwahi lala guest za pale nilivofika hapa dom yaani chaga hazifai ni kwichi kwichi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…