Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,391
- 283,497
Mjumbe aliyelizwa na wajumbeMjumbe !!!!
Sifa na vigezo!
CCM imelaaniwa kutwa wanajifunza kuteua kama maza anavyo fanya
Kumbe Master J ni Kada wa CcmHivi vyeo vingine ni uchuro tu.
Sasa mtu unateuliwa kuwa mjumbe wa baraza la sanaa (BASATA!) ili ukafanye nini huko?
Ukazuie nyimbo ya Ney wa mitego inayokosoa watawala?
Ningekuwa mimi ni Master J ningekataa huo uteuzi wa kishirikina na kiftina tu.
Sorry nimesahau, kumbe Master J ni kada wa Chama cha Mambuzi (CCM), hicho cheo kimtamfaa faa kimtindo!
BASATA yenyewe ipo hoiHivi vyeo vingine ni uchuro tu.
Sasa mtu unateuliwa kuwa mjumbe wa baraza la sanaa (BASATA!) ili ukafanye nini huko?
Ukazuie nyimbo ya Ney wa mitego inayokosoa watawala?
Ningekuwa mimi ni Master J ningekataa huo uteuzi wa kishirikina na kiftina tu.
Sorry nimesahau, kumbe Master J ni kada wa Chama cha Mambuzi (CCM), hicho cheo kimtamfaa faa kimtindo!
Ndiyo maana aligombea mwaka janaKumbe Master J ni Kada wa Ccm
DuuhMjumbe aliyelizwa na wajumbe
πππNdiyo maana aligombea mwaka jana
Wala hatujabishaHaina shida ni mtanzania anazo
Sifa na vigezo!