ommky
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 458
- 225
naombeni msaada,wale form six mwaka jana 2015 wanaruhusiwa apply tcu kwa minimum c mbili , na c kwao inaanza 40-49 sawa na E ya mwaka huu. apo wadaku na mastelingi wa grades haki ipo wapi????????au ndio hao ndalichako atawatumbua na kama sio kwanin wa apply mwaka huu na wakati c zao ni 40-49 sawa na E mwaka huu.