Mastaa wa bongo wajitosa katika Usagaji hadharani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mastaa wa bongo wajitosa katika Usagaji hadharani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mwana Mpotevu, Mar 1, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Nimeikuta hii kwenye blog ya Global publishers;

  Mastaa waanzisha mtandao wa usagaji

  AMA kweli dunia imekwisha! Imebainika kuwa baadhi ya mastaa wa kike wa tasnia mbalimbali Bongo, wamejiingiza kwenye magenge ya kufanya vitendo vya ngono vya wenyewe kwa wenyewe (usagaji), Amani limezama kwenye uchunguzi wa kina.
  Kwa mujibu wa uchunguzi wetu, baadhi ya mastaa hao wamekuwa malimbukeni kwa kufanya vitendo vilivyo nje ya maadili ya Kitanzania likiwemo hili la usagaji.
  Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, wanachokifanya mastaa hao kwa sasa ni kuzungukana wao kwa wao wakifanya dhambi hiyo.

  VIASHIRIA
  Amani limebaini kuwa mastaa wa kike wenye ukaribu zaidi wana mambo ya ajabu nyuma ya pazia.
  Mastaa hao ambao wanakuwa pamoja kwenye kumbi za starehe huku wakinywa na kuishi chumba kimoja ‘geto’, ndiyo wanaoongoza katika uhusiano huo mchafu.
  Imebainika kuwa wengi wa mastaa hao huanza kwa kuiga baadhi ya tabia za mastaa wengine hasa wale wa nje na kujikuta wakijiingiza katika vitendo hivyo.
  Wengi huanza kwa kuigiza mavazi yasiyo na staha, kunywa pombe, kuvuta sigara na madawa ya kulevya kisha baadaye hufikia hatua ya kufanya vitendo hivyo.

  WAKIMBIA MAKWAO
  Mara nyingi mastaa wanaokaa pamoja huwa wanakimbia maisha ya kubanwa na wazazi nyumbani kwao na kuutafuta uhuru kwa kuhamia kwa mastaa wenzao.

  MAGENGE
  Imebumburuka kuwa magenge hayo ya usagaji yanazidi kukua kwa kasi kutokana na wasanii wachanga wanaoingia katika tasnia za muziki na filamu kuiga tabia za waliowatangulia.
  Imedaiwa kuwa hata kugombana kwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo kutokana na wivu wa mapenzi kati yao, jambo linalosababisha kuwepo kwa makundi yanayopingana.

  KUNA WANANDOA
  Imefahamika kuwa baadhi ya mastaa wenye majina makubwa waliopo katika makundi hayo wapo katika uhusiano na wanaume na wengine wamechumbiwa au kuolewa kabisa.
  Uchunguzi huo ulibaini kuwa, mastaa wenye ndoa wamefikia hatua ya kukubali ndoa zao zivunjike ili waendelee kufanya mambo yao kwa uhuru.

  MAMBO HADHARANI
  Ripoti ya Amani inathibitisha kuwa imefikia hatua, mastaa hao hawaoni aibu kufanya vitendo vyenye viashirio vya kisagaji hadharani pale mzuka unapowapanda. Gazeti hili limewabamba wengi wakifanya vitendo hivyo vinavyotia kinyaa (ushahidi wa picha za kumwaga upo).
  Pamoja na mastaa, pia baadhi ya wasichana wanaojiita wa mjini nao wameingia katika mkumbo huo wa kuiga tabia za mastaa hao.
  Mastaa waliowahi kubambwa wakifanya vitendo vya usagaji ni Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuz’ akiwa na Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, Isabella Mpanda na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Jack, Nelly Kamwelu, Mayasa Mrisho (pichani) na Rose Ndauka, Latifa Idabu ‘Badra’ na tukio bichi la staa wa filamu, Halima Madiwa aliyenaswa wikiendi iliyopita akiwa chobingo na msichana mwenzake.

  KALAMU YA AMANI
  Mastaa wa kike Bongo wanapaswa kutambua kuwa wao ni kioo cha jamii hivyo watumie nafasi hiyo kuifunza jamii mambo yanayofaa kuigwa na siyo uchafu.


  [​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [h=3][​IMG][​IMG][/h]
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Nahisi huko tunakoelekea ni kwenye kiza kinene. sasa hivi tutashuhudia arusi za wanawake kwa wanawake wasanii na kisha tunahamia kwa wanaume wenyewe kwa wenyewe. Hizi sanaa za bongo kiama!
   
 3. k

  kumsha koku Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiamaa ichoo kimefika walimwengu.
   
 4. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ona watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
   
 5. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nmejipitia 2
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mh,its too far
   
 7. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kama ushahidi wa picha upo kwanini wasichukuliwe hatua wanatuharibia watoto wetu.
   
 8. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  hapo chini ya post kuna picha kama ukifuata link hiyo. Lakini sidhani kama Tanzania tuna sheria ya kupiga marufuku usagaji, utawashtaki kwa kutumia sheria zipi??
   
 9. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Simama ukaguliwe!!!!
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Tatizo la kuiga kila kitu kinachoonekana kwa Tv na mitandao, cheap popularity mwisho wake mbaya sana
   
 11. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hao waigizaji wengi wao ni malimbukeni

  kazi yao kubwa ni kuiga kila kitu
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Khaaaa............
   
 13. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  nadhani wasanii wanahitaji msaada au wa kielimu ama kisaikolojia maana wanakoelekea siko kabisa
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  daah!!!!!!!!!!! Hii ni hatari
   
Loading...