MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,196
- 43,729
Baki kwenye hojaKumbe moni centrozone ni millionare siku hizi mjini mambo mengi aseeh
Baki kwenye hojaYoung lunya, moni, nai. Wamekuwa mamilionea.!
Wamekutuma?
Umesema mwenyewe ni ma "millionea"Baki kwenye hoja
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Naandika nikiwa na huzuni zilizochanganyikana na hasira kali. Jana hata leo kinacho-trend mitandaoni ni matangazo ya mkutano mkubwa wa injili. Ni kwamba kinachofanya hili jambo liwe kubwa ni baada ya watangazaji kuweka matangazo mji mzima bila kuacha sehemu yoyote. Nawapongeza mno waandaaji kwa ubunifu uliopitiliza.
Watu mitandaoni kama kawaida wakaanza kupost memes kuhusiana na hayo matangazo. Wengi ilikuwa ni katika hali ya mizaha. Kilichonihuzunisha ni kuona baadhi ya watu maarufu wakiwemo wasanii wakiingia mkumbo wa kupost hizo meme ambazo zina hilo tangazo. Walichofanya ni ukosefu wa akili na kutojua thamani yao kibiashara. Ni kwamba wamewatangazia bure waandaaji wa mkutano bila wao kujua. Hii inaonyesha bado nchi ina rundo la wasanii vilaza ambao wameshindwa kwenda sawa na ulimwengu wa kibepari. Wasipojirekebisha tutegemee wasanii mamilionea kuendelea kubaki wachache ambao ni kina Diamond, Shilole, Young Lunya, Nuhu Mziwanda, Ali Kiba, Jux, Moni Centrozone, Malkia Karen, Official Nai pamoja na Ray Kigosi.
Wamesaidia kutangaza neno la MunguNawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Young lunya, moni, nai. Wamekuwa mamilionea.!
Wamekutuma?
Coca umerudi[emoji23][emoji23][emoji23] wasanii hao ndo millionaire? Mbavu zangu mie uwiiiih
Mambo mengi mda mchacheNawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Naandika nikiwa na huzuni zilizochanganyikana na hasira kali. Jana hata leo kinacho-trend mitandaoni ni matangazo ya mkutano mkubwa wa injili. Ni kwamba kinachofanya hili jambo liwe kubwa ni baada ya watangazaji kuweka matangazo mji mzima bila kuacha sehemu yoyote. Nawapongeza mno waandaaji kwa ubunifu uliopitiliza.
Watu mitandaoni kama kawaida wakaanza kupost memes kuhusiana na hayo matangazo. Wengi ilikuwa ni katika hali ya mizaha. Kilichonihuzunisha ni kuona baadhi ya watu maarufu wakiwemo wasanii wakiingia mkumbo wa kupost hizo meme ambazo zina hilo tangazo. Walichofanya ni ukosefu wa akili na kutojua thamani yao kibiashara. Ni kwamba wamewatangazia bure waandaaji wa mkutano bila wao kujua. Hii inaonyesha bado nchi ina rundo la wasanii vilaza ambao wameshindwa kwenda sawa na ulimwengu wa kibepari. Wasipojirekebisha tutegemee wasanii mamilionea kuendelea kubaki wachache ambao ni kina Diamond, Shilole, Young Lunya, Nuhu Mziwanda, Ali Kiba, Jux, Moni Centrozone, Malkia Karen, Official Nai pamoja na Ray Kigosi.
Yeaaaah nmejaa tele mwayaah.Coca umerudi
TuliaHata wewe huijui thamani yako,maana kwa kuanzisha hii thd nawe pia umesaidia kusambaza hilo tangazo,
So.wewe na hao wasanii unao walaumu ni Pipa na Mfuniko tu.