Pamoja na mchanganyiko wa damu hawatambuliwi kama wazungu, wako group ya weusi tu. Angalia hata wanaoelekea kufanana nao kirangi kama waasia na spanish bado wanabaguliwa kwa sana tu. Wazungu waone hivi hivi.

Umenikumbusha ukweli, kwani kuna baadhi wenye kasumba isiyo ya kawaida.
Mwanamichezo kama Tiger Woods ndiye anayedharau sana watu wenye rangi nyeusi na pengine hata wamarekani. Anavyohusudu wanawake wazungu ambao ni natural blond hair balaa, hata anadhubutu kuchukua machangudoa wa kwenye mabaa.