Nihatari naona imekuwa zaid ya ghana pole yao wote
Janga likikufikia huna umbari wala usalama wa kitu utakutwa hukohukoPeople 5 kilometres away felt the tremors
silaumu tu wachina pekee yao,bali na maafisa wa serikali ya CCM waliopewa dhamnaya kulinda rasilimali za nchi.kadoda11 unawalaum wachina au nyinyiwenyewe mloshindwa kulinda vyenu!!
hiyo ndio laana ya kushirikiana na baadhi ya viongozi wa CCM kuua tembo wetu.acheni machina yateketee.
your views towards Tanzanians is totally an indication of obsession that begins to effect your thinking ability.watch out brah.Is it that Tanzanians derive pleasure from the sufferings of other people? ......and they say Tanzanians are humanely!!!!!
your views towards Tanzanians is totally an indication of obsession that begins to effect your thinking ability.watch out brah.
your views towards Tanzanians is totally an indication of obsession that begins to effect your thinking ability.watch out brah.
Blast yield
15 kilotons of TNT (63 TJ)
Little Boy was the codename for the type of
atomic bomb dropped on the Japanese city of
Hiroshima on 6 August 1945 by the Boeing
B-29 Superfortress Enola Gay,
Sasa rafikiyangu tuchukulie mfano, mtumiwa anae semwa sana kuhusika ni KINANA hivi akiamia CDM anakuwa msafi? wanaccm nijanga la tz na si ccm pale ccm jina tu ila mijitu inayokula nchi hovyo ndio hiyo kina KINANA,CHENGE,JK,LOWASSA NK,ajabu et mtu akihamia cdm basi kawa si MFILISI NCHI,HATUFIKI KAMWEsilaumu tu wachina pekee yao,bali na maafisa wa serikali ya CCM waliopewa dhamnaya kulinda rasilimali za nchi.embu jikumbushe kwanza na habari hii:Chinese Delegation Smuggled Ivory From Tanzania[h=1][/h]
Maze, hapa EAC tunafaa tuchange kila nchi mamilioni ya dolla kila mwaka ili tuunde an EA disaster management operation center ambayo itakua na helicopeters za kumwaga maji kwa moto mkubwa na kusafirisha watu, meli za ku okoa watu kukitoka janga baharini ama ziwani victoria, ama kuzoa mafuta ya oil yakimwagika bararini yakisafirishwa karibu na EA, ama ku deal na piracy coast ya EA. Pia tuwe na madaktari kama wa CDC, wagonjwa kama ebola yakitokea, tuwe na pesa na uwezo wakutumia technologia za juu kujitoa kwa majanga, maana vile tulivyo sasa, sioni kama tunaweza jisaidia kukitoka janga kubwa,.
Imajin ndege ya boeing ile kubwa kabisa ianguke katikati ya mji mkuu na kuuharibu na kabisa, je, tuko na uwezo wa kuokoa watu wengi kama hivyo? na mahospitali yana uwezo wa kuchukua watu wengi hivyo kweli bila usaidizi wa nchi jirani?