Massage za Dar

Utajibizana nini sasa, uzinzi wako unataka kuuhalalisha wa mwengine ndio uwe haramu, nyie wote ni wafanya zinaa, wazinzi, mafirauni, jitakase mwili wako na nafsi yako kwanza
Yani kumuita mtu mzinifu ni kitu ambacho hakileti maana kabisa.

Yani watu wawili wamekubaliana hakuna aliemlazimisha mwenzie kutumia viungo vyao vya mwili kwa starehe zao binafsi na wengine kupata fedha halafu wewe hii inakupa shida, unasema ni tabia mbaya tena unaipa na jina eti "uzinifu"

Kwa kifupi kinachoendelea hapo massage ni mtu kutoa pesa, wengine kupata pesa na kutumia viungo vyao vya mwili kwa starehe zao binafsi. Tatizo liko wapi hapa?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ungesoma tulipoanzia usingeandika hili gazeti, kama ishu ni mtu kutoa viungo vyake kwanini amseme shoga kua ni mchafu wakati na yeye anafanya hayo hayo machafu afanyayo shoga kwa kutumia viungo vyake?
 
Point yangu ilikuwa awe shoga, awe sio shoga kumuita mtu mzinifu hakuleti maana.

Na mtu asie shoga pia ni kweli hastahili kumlaumu au kumtusi shoga (kama hii ndo point yako sikupingi)

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…