Massage parlour arusha

Massage parlour arusha

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
879
Wakuu habarini....niko arusha naulizia kama anafahamu sehem yoyote ambayo ina massage..
 
Mwelekezeni tu atakachofanya uko atajua mwenyewe
 
Sidhani kama Arusha wanayo maana zoezi zima kinaambatana na romantic language, pia watu huko hawaaminiani avue nguo alale atakuwa na wasiwasi wa sachiwa salio lake.
 
Sidhani kama Arusha wanayo maana zoezi zima kinaambatana na romantic language, pia watu huko hawaaminiani avue nguo alale atakuwa na wasiwasi wa sachiwa salio lake.
Okayy....daah maana nimeulizia xana
 
Sidhani kama Arusha wanayo maana zoezi zima kinaambatana na romantic language, pia watu huko hawaaminiani avue nguo alale atakuwa na wasiwasi wa sachiwa salio lake.
Zipo bana arusha nzima kusiwe na massage centers ???? Kweli ??....isitoshe ni jiji la kitalii ....mtoa mada na wewe umekubali kabisa ....
 
Zipo bana arusha nzima kusiwe na massage centers ???? Kweli ??....isitoshe ni jiji la kitalii ....mtoa mada na wewe umekubali kabisa ....
Zipo sehemu gani mkuu? Tuambie basi maana mimi mwenyewe napenda sana mambo hayo hasa body to body, ila kama ni Arusha nitaacha kila changu kwenye gari nabeba hela yao tu ya kuwalipa.
 
Wakuu habarini....niko arusha naulizia kama anafahamu sehem yoyote ambayo ina massage..
Nenda salon ya wanaume yoyote Kali hapo jijini wanatoa huduma hiyo au waulize wao wanazijua. Massage za arusha ni Kali sana sema huenda isiwe na happy ending
 
Nafahamu moja ilipo Ila namna yakukuelekeza ndo shida sasa. Ngoja nijaribu kama utaekewa anzia safari pale stend ya mabasi ya Kilimanjaro Nyoosha na ile road vuka barabara kubwa ya kutoka stend shuka nayo ile kama unaenda kwenye stend ndogo ya hiace katikati kuna saloon mbili au tatu kubwa,,,saloon ya mwisho kulia ingia hapo ushindwe mwenye
 
Wee jamaa nenda stand ukifika ulizia stand ya mabus ya moshi au Dar.

beneath kuna saloon inaitwa Mnyampaa berbershop nenda hapo utapata utaratibu wote. Nimekuelekeza stand maana ndipo karibu kwa wageni.

Kwa mtu yeyote wa Arusha hapo kati lazima aifahamu kuna wadada wazuri saana na wanatoa huduma nzuri saana.
 
Wakuu habarini....niko arusha naulizia kama anafahamu sehem yoyote ambayo ina massage..
Zipo nyingi sana chief, mimi napendelea ya Mt. Meru hotel ghorofa ya pili tu kuna spa yenye msg parlour ya ukweli.
 
Back
Top Bottom