barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Hata baadhi ya baber shops ni danguro lililo changamka...Nawasalimu!
Basi bhana siku ya ijumaa nimekaa Zangu ofisini mwili unaniuma sana,kuanzia kiuno mpaka mgongo,nikawaza nitafute sehemu nifanye massage.
Nikaingia Instagram kufatuta page zinazofanya huduma hizo nikabahatika kuipata moja iliyojirani na mitaa yangu,nikawacheki wahudumu kwa simu yao wakaniambia massage elf 30 wakanielekeza walipo huyo nikajongea mpaka maeneo hayo mdogo mdogo.
Nilipofika nilipokelewa na mabinti wawili nikasamiliana nao then nikaoneshwa room ya kwenda.Kufika kule nikavurishwa nguo nikabaki na kitaulo nikaanza kupewa huduma,nilichokigundua huduma zile hulenga pia kukuamsha kihisia ili wachote pesa zako,kweli bhana nikakandwa mgongon then nikageuzwa mbele Sasa daah mtoto akacheza mwili kuanzia chini akawa anakuja juu mpaka ikulu akaanza kuimassage Mimi namcheki tu, badae kahamia sehemu za juu ingawa hakuchukua mida akarudi tena ikulu kwa Sasa alicheza Napo mpaka ikulu ikanengewa "mnara".
Then akajisemea haya nishamaliza Ila Kama unataka tunaweza kuubomoa huo "MNARA"either kwa kufanyishwa masterbation au blow job na hapo masterbation ananiambia 20, blow job 30 daah kiukweli sikuitaji kufanya huduma ya zaidi iliyonipeleka ingawa haikuwa rahisi Ila nilikomaa kibishi nikaenda na MNARA wangu mpaka home,wakati niko pale walikuja wateja wengi sana nikawa nawasikia wanavyogugumia uko nikajua kinaumana uko...
Kwa yale niliyoshuhudia nikapata jibu kuwa massage ni DANGURO lililochangamka na usipokuwa makini utapigwa sana ela utashituka akili ikikurudia,Ila nitaenda next weekend nitajaribu blow job nije kuwapa mrejesho.