Massage ni danguro lililochangamka

Kuna dada mmoja aligundua mume wake ni mteja mzuri wa massage parlour, alichofanya kwa siri alikwenda kuomba kazi lakini alikua mkweli alisema hana experience. Walimpa wiki moja ya training baada ya training hakurudi tena alianza kumfanyia mume wake nyumbani.
Ya nyumbani hainogi#unapunguzautamu
 
Nawasalimu!

Basi bhana siku ya ijumaa nimekaa Zangu ofisini mwili unaniuma sana,kuanzia kiuno mpaka mgongo,nikawaza nitafute sehemu nifanye massage.

Nikaingia Instagram kufatuta page zinazofanya huduma hizo nikabahatika kuipata moja iliyojirani na mitaa yangu,nikawacheki wahudumu kwa simu yao wakaniambia massage elf 30 wakanielekeza walipo huyo nikajongea mpaka maeneo hayo mdogo mdogo..
Kuna ile saloon Africa Sana Jirani na king D hotel nilingegeda mdada mmoja alikua kama msingida au mtusi hivi baada ya massage nikaregea kumchomekea akauliza condom nilishajiandaa nikala mzigo natoka nakuta Basha ake anasubiri ilikua mida ya saa sita usiku zile saloon zina mambo
 
Kuna mwanamke wa makamo alimfanyia massage kijana mmoja ila mwishowe mwanamke alishindwa kuvumilia na kijana akakubali ili mambo yaishe.
 
Eti happy ending ...kuna wengine wako dodoma aisee wale ndo balaaa....sitokuja kwenda kule tena.....Yani unatengenezewa mazingira ya kushawishika....

Kwanza picha la kikorea linaanza kabla hata ya kuvua nguo wanajipanga mabinti 6 eti uchague wa kukufanyia massage .......Aiseee hii dunia hapana
Nipe location Mkui.
 
Karibu sana.
Ila wanaume wa humu Jf sina hata hamu nao.....NIMEKOMAAAAA.
Tukutane tu nyuma ya keyboard lakini mambo mengine,acha tu nipie nyeto ya kike.
Mbona wema tupo jamani.
Hebu njoo PM tuchonge.
Upo kwa ajili yangu tu.
🥰🥰🥰🥰

#YNWA
 
Nawasalimu!

Basi bhana siku ya ijumaa nimekaa Zangu ofisini mwili unaniuma sana, kuanzia kiuno mpaka mgongo, nikawaza nitafute sehemu nifanye massage.

Nikaingia Instagram kufatuta page zinazofanya huduma hizo nikabahatika kuipata moja iliyojirani na mitaa yangu, nikawacheki wahudumu kwa simu yao wakaniambia massage elf 30 wakanielekeza walipo huyo nikajongea mpaka maeneo hayo mdogo mdogo.

Nilipofika nilipokelewa na mabinti wawili nikasamiliana nao then nikaoneshwa room ya kwenda. Kufika kule nikavurishwa nguo nikabaki na kitaulo nikaanza kupewa huduma, nilichokigundua huduma zile hulenga pia kukuamsha kihisia ili wachote pesa zako, kweli bhana nikakandwa mgongon then nikageuzwa mbele Sasa daah mtoto akacheza mwili kuanzia chini akawa anakuja juu mpaka ikulu akaanza kuimassage Mimi namcheki tu, badae kahamia sehemu za juu ingawa hakuchukua mida akarudi tena ikulu kwa Sasa alicheza Napo mpaka ikulu ikanengewa "mnara".

Then akajisemea haya nishamaliza Ila kama unataka tunaweza kuubomoa huo "MNARA"either kwa kufanyishwa masterbation au blow job na hapo masterbation ananiambia 20, blow job 30 daah kiukweli sikuhitaji kufanya huduma ya zaidi iliyonipeleka ingawa haikuwa rahisi Ila nilikomaa kibishi nikaenda na MNARA wangu mpaka home, wakati niko pale walikuja wateja wengi sana nikawa nawasikia wanavyogugumia uko nikajua kinaumana uko...

Kwa yale niliyoshuhudia nikapata jibu kuwa massage ni DANGURO lililochangamka na usipokuwa makini utapigwa sana ela utashituka akili ikikurudia,Ila nitaenda next weekend nitajaribu blow job nije kuwapa mrejesho.
🤣 🤣 🤣 🤣 Blowjob. Au sio Mkuu? Piga body to body massage Mkuu.
 
Back
Top Bottom