Massage Centers

Massage Centers

the leader

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
16
Reaction score
1
Hivi hizi sehemu kuhusishwa na sex ni kweli? na ni kweli kwamba zipo nyingi dar?
 
hebu ajuaye anipe samples nikazitembelee mwenyewe nijionee..
 
zipo nyingi kinondoni na sinza, kwa hiyo si dar yote
maeneo ya ubungo kimara mpaka mbezi hakuna, buguruni, temeke na tandika sijawahi kuona, mwenge mpaka tegeta ni za kubahatisha, keko, mbagala, hupati, kariakoo utazunguka saana ila zipo, posta pia unapata ila si kwa waswahili, kigamboni hakuna kabisa. Dar imeisha hapo.
 
nyingi kinondoni na Sinza! no wonder zinahusishwa sana na sex...
 
Haiwezekani kutenganisha massage, sex na raha?
Kama ingekuwa ni tiba zingewekwa hospitali, kwanini massage hazifanyiwi kenye holi.lazima uwe kwenye kichumba tena uchi
 
Back
Top Bottom