Mass Resignation???

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,486
86,002
Kuna tetesi kuwa Madaktari wa Serikali wanataka kuresign wote, Tetesi hua haina reliable source, so usiulize hadi hapo itakapothibitika.
 
Ungetueleza angalau chanzo..........hata hivyo, toka ule mgomo wa kwanza wengi wametimkia nchi za jirani na wanawavuta wenzao kwa wingi.
 
Mpwa hizi ni tetesi toka pale Muhimbili ila napendekeza tuziache kama zilivyo kwanza
Ungetueleza angalau chanzo..........hata hivyo, toka ule mgomo wa kwanza wengi wametimkia nchi za jirani na wanawavuta wenzao kwa wingi.
 
Hiyo ingesaidia na mawaziri na serikali kwa ujumla kufahamu kuwa hata kada zingine ni muhimu. mpaka sasa mawaziri na Rais wao wanadhani wao ndo muhimu tu.
 
Back
Top Bottom