Mkuu
mvaa viatu kuhariri coments za watu hata wewe unaweza kwa kufanya editing
Unafuta nilichoandika mimi unaandika unachotaka wewe
Kuna siku
Moderator kwa makusudi Kabisa walinipiga ban kwa comment yangu iliyohaririwa
Kuna memba alihariri comment yangu akaongeza tusi,then nikapigwa ban mimi
Sikulalamika niliacha tu kwa kuwa nilijua wamefanya makusudi
Sasa huyu bwana toka jana namripot kwao wamemwacha tu hawamkanyi