Masoud Kipanya, You just Made My Day

Mkuu huyu huwa anasema kitu halisi bila kumung'unya maneno msikilize kwenye kipindi chao cha asubuhi times fm 06-09 am
 
Masoud picha imetulia na ujumbe umefika kisawa sawa
 
Sioni kama kweli tanzania ina mihili mitatu isiyoingiliwa na ccm!katiba mpya ndio suluhisho
 
Nimeipenda sana hii katuni UJUMBE MURUAAAA.
 
Huyo jamaa nyuwa ya madevu ndiye BLUU GADI!
 
magamba masikio walisha ziba na pamba yaani hawasikii wao kila kitu ni kupotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…