Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,793
- 165,531
Haya bhana yetu machoAnatafuta kutekwa
Hata huku Old Moshi, marangu, Pasiansi na Nyegezi piaSawa huku ARUMERU, GEITA NA MISUNGWI tumekusoma
Jitahidi kuelewa Ujumbe ndugu!Siku akiwachora Jamaa wa Gia za Angani atakuwa anatumiwa na Utawala Mara Sijui anatafuta Cheo n.k
Bado haujaielewa katuni hiyo. Iangalie tena.Yupo sahihi kipanya, hata ukiwa huna Chama unaweza kumuunga tu mkono, hao wanaompinga asilimia kubwa ukiwauliza wanampinga kitu gani hata hawajui.
Kwani imekukera sana mkuu?Siku akiwachora Jamaa wa Gia za Angani atakuwa anatumiwa na Utawala Mara Sijui anatafuta Cheo n.k
Kwani imekukera sana mkuu?
Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.