Masoud Kipanya is wrong about SUA


Cheap labour!!!:biggrin1:
 
 
Acheni kukariri kuna watu wanadegree zao wanasafisha vyoo nchi za watu nyie mnajiuliza kupata kazi ya counter? harafu tunalilia ajira hakuna kwa kuchagua kazi? lets change the way we live this is too much?
 
Mnakaa kuponda vyuo tu,hvi ninyi mmelifanyia nin taifa hili na hizo degree zenu za vyuo vyenu?makanjanja wa nchi hii mtaisha lin ninyi?
 
Ustake ncheke kumbe katuni yenyewe hata hamjaioona, sasa mwabishania nini? kwi wki wkiw kwi 😀 Gonga kwenye katuni kuona ujumbe wake! mweeeee!

Kaka mbogela upo.product ya Sua wewe Kama silo Junior seminary
 
Namuunga mkono Masoud Kipanya, lengo la kuanzisha SUA limepotea. 80% ya Watanzania ni peasants, SUA ipo tangu 1960s, lakini imeshindwa kumkomboa mkulima wa chini. Graduates wake ndio hao wamejazana bank, siku hizi wengine wanafanyakazi Vodacom, Tigo na Airtel. Kilimo kimeishia wapi?
 

Let me prove you wrong in this! You bask behind your office desk scribling this underrated observation,agah no joh no!.... those guys with the people's bachelorz from not only sua but all over tz universities are witnessed in wrongful professions like banking while they studied sociology,teaching while they studied environmental sc. etc ....
I have two bros of mine who graduated from that same vazt you're trying to inflate yo chest on behalf in defence, who now work as teachers one here in Dar another works @ kagera... wewe mtoto wa kitanzania if SUA sent you to provoke our dear brother and legend cartoonist Mr kipanya here on fb tell 'em kipanya iko kasini natafuna mahindi kwa sababu binadamu meshindwa,ngah go deh go....watu wengi nafanya kasi sio lisosomea jenga hoja kwenye hili leave kipanya alone.
 

Tatizo hawamo humu, wengi wao ni mabwana shamba remote location kwenye mashamba ya wakoloni...thread imetoka tangu 2009 miaka 6 sasa hawafika na kujitetea?
 
Tatizo hawamo humu, wengi wao ni mabwana shamba remote location kwenye mashamba ya wakoloni...thread imetoka tangu 2009 miaka 6 sasa hawafika na kujitetea?

Tatizo sio sua.SUA wanafanya tafit nying na zenye manufaa kwenye but their implementation rests with the govt.SUA haiendesh nch na wala haifany maamuz but n washaur 2 wa serikal na nimaamuz ya serikal kuufanyia kazi.Tz ina wachum weng tu lain bado tuna matatizo ya uchumi.
 

kipanya is wrong.a graduate with bsc.(agricultural economics and agribusiness) can wrk as agribusiness loan officer in any bank.
 
Jamani.. Kabla ya yote naomba kuuliza elimu ya masoud..😕

SUA inafundisha masuala ya maktaba/ukutubi
 

Mpendwa sua imeanzishwa rasmi mwaka 1980
 
kipanya is wrong.a graduate with bsc.(agricultural economics and agribusiness) can wrk as agribusiness loan officer in any bank.

Agribusiness>>» mind you its a compounded word wherein agri stands for agriculture now where does a learned fellow like you gather guts to lie to us that agribusiness ni banking nendeni shambani mkalime muache uvivu nyeeh heweeh!
 
wote munaoponda mzumbe na ifm ninyi co wasomi ni maboya tu mbwa poli nyie mafala ma k yenu
 

Kama ametumia as mfano lakini huo mfano wenyewe sio sahihi (kuna taarifa potofu ndani yake) hiyo ndo kasoro yenyewe. Mfano unatakiwa uwakilishe picha halisi ya ukweli.
 
you are absolute right FIDEL,ulisoma mambo ya udongo nenda kawe bwanashamba na mambo ya kilimo kwanza ndo saizi yao..to me this is just misallocation ya proffesionalism
u r wrong brother unless umeamua kua wrong kwa mapnz yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…