Masoud Kipanya is wrong about SUA

Namfahamu graduate mmoja wa agronomy yupo CRDB. Acheni kumshambuli kipanya
 
Wataalamu wa SUA wanapigika mtaani kwa kukosa ajira.Kilimo chenyewe cha jembe la mkono
 
Ndo hapo sasa mtu kasomea IT anaenda kuwa Bwana shamba wapi na wapi wakuu?

Huyu mtoa hoja anajaribu kuhalalisha uoza uliojaa kwenye sekta mbali mbali za ajira. Mtu kasomea BSc Horticulture au BSC Agro-mechanical anafanya kazi kama bank teller, muulize kama ndo alichosomea! Je hayo masomo ya Agriculture huko SUA huwa kwenye job prospects za hizo courses zao kuna working in banking sector kama nani? Je, anataka kutuambia kwamba hakuna haja ya watu kusoma Bcom na BBA ila watu wasome hovyo tu... mradi tu ni degree!
 

Kuna advantages nyingi kwa waajiri kwenye sekta ya banks kwani watu kutoka SUA wanajua kwamba soko la ajira wakifuata specializations zao hawawezi kuajiriwa kwa urahisi. SUA graduates wengi wamekuwa kimbilio kwa mabenki kama NMB, CRDB na NBC kwa sababu wako tayari kwenda mikoa iliyo pembezoni, na wakishaajiriwa huwa hawana tamaa ya kuhama hama kwani wanaona kuajiriwa huko benki ni kama wamependelewa ukizingatia wamesomea ufugaji wa nyuki wasiotoa asali! So this is not a surprise...
 
Bank teller ni just part of other fields mtu anatakiwa kujua kama banker,na wengi wanaanzia hapa esp. bank officer trainees halafu you move to other departments pia kujua more about banking, kwa hiyo usione graduate bank teller ukaanza madharau...from there you can grow to any level..na graduates ndio watu wanaochukuliwa siku hizi coz they can learn kila kitu regardless of their professionals...a SUA graduate can fit in HR,Treasury,Forex,Operation,na hata IT department....ndio maana shule ya SUA ngumu to make you fit wherever...
 
 

Vyote hivyo inawezekana but not IT department.
 
mi nawajua wawili SUA graduates wa Food science saiv ni mabank teller haaaaaaah haaaaaaaah
 
Masoud is absolute right and correct, Tz ni majanga matupu hasa kama hauna connection.
 
Yaani hapa umetia mbwembwe ili nawe uonekane msomi kutokuona tatizo ndio tatizo kubwa tulilonalo wabongo. Graduate kuwa bank teller mbona ndio mpango mzima hata kama wametoka SUA na mbona wapo vijana tunawajua na wenyewe wanajijua.

Kuzalisha scientist kwa gharama kubwa na kwenda kumpa kazi routine ambazo hata mtu wa Form IV anaweza fanya vizuri ndio point ya KP sasa msikwepe ukweli kwa kuleta mbwembwe na kutaja watu ambao hata tija zao kama scientists are in question.

KP has a point, wapo pia ambao wanasoma kozi sio kwa kupenda bali lazima waende shule na matokeo yake wanapomaliza ule wito haupo na wanafanya vitu vingine na ndio maana tunambwela kwa muda mrefu. Vitu ulivyojivunia ktk bandiko lako ndio tatizo lenyewe sasa.

Scientist awe scientist, hao uliowasifia ni bureacracy tu na wala hawakutakiwa kupita SUA wamepoteza pesa za wabongo na ndio maana hawana Tija katika science ya kilimo/mifugo/ardhi bora wangepita USTAWI ingetosha. Tuzalishe scientists wafanye kazi kama scientist ili wabobee katika fani.

 
Kuna hiyo feeling miongoni mwa wa SUA kuwa Chuo chao kinatoa degrees zina-fit popote. Hiyo si kweli. Na kama ni kweli, hizo degree ni bomu.
Unaposoma degree matagemeo ni kwamba unakuja fanya kazi inayo-reflect jina la degree yako. Kwa mfano, huwezi kuniambia eti mtu kasoma food science anafanya kazi kama bank teller. Na mifano mingine mingi tu. Hawa wote walitakiwa wafanye kazi kwenye sectors zinazoendana na majina ya degrees zao. Kuwa bank teller ni kumalizana uwezo wa kufiria wa mtu. Bank teller anaweza fanya hata form six. Mifano ya Tibaijuka, Madundo au shambani graduates haiendani na mada, kwa kuwa head wa UN section, mcheza mpira au enterpreneur uhitaji shule maalumu. Kutoka UDSM au Mzumbe kuna wengi tu wa aina hii, wakiwemo Marais, makamu au Mawaziri.
 
sio kila anayesoma SUA lazima awe bwana shamba,,,,
 
Not only Shambani graduates (Milk processing enterprises), currently there is very big entreprise owned founded and owned by SUA graduates caleed SUGECO.
 
Kumbe vyuo vingine mnasoma na kuchagua maeneo ya kufanyia kazi! Sasa mnalalmika ninikama wenzetu wameamua kuwahudumia Watanzania wanaohitaji kuhudumiwa.
 
 
Cha kujiuliza ni kwanini bank zinaajiri graduate toka SUA na sio toka CBE. IFM etc ambapo pia kuna graduate wengi tu ambao hawajaajiriwa. Bila shaka UBORA wa graduate wa SUA unawalazimisha waajiri kuwachukua wa na kuwaacha wenye fani pembeni. CBE wengi vilaza.
 

bongo hii connection ndo mpango hamkusikia jaji ndo anasoma sheria hata bado hajagraduate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…