Masoud Kipanya anastahili tuzo ya heshima

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,442
Huyu jamaa kwa kweli ubunifu wake si wa nchi hii!

Hata kama huwa anapata nyepesi nyepesi kabla ya kuchora katuni zake, lakini ufundi wake ni hatari!

Kwa hivi vibonzo, nampigia salute!
IMG_2620.jpg

IMG_2619.jpg
 
Yule mwana katuni maarufu nchini pengine na hata barani Afrika Kipanya amekuja na kitendawili cha wana ACT na Maalim Seif .

Huku mitaani wapenda mageuzi ya kweli wakiwa wamepigwa na butwaa ya nini kimetokea ,wao kama ACT ndiyo kwaanza wanajiandaa kuanza kutafuna bata batani.
Screenshot_20201208-085552.jpg
 
Safi mzee.
Gonga vidari kwa raha zako
Ila usiwasahau mahabusu waliokamatwa kwa ajili yako.
Pia masheikh wa uhamsho.
 
Back
Top Bottom