Masoud Kipanya ana maana gani?

Masoud Kipanya ana maana gani?

Firigisi

Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
91
Reaction score
33
cartoon-kipanya-big-fish-mwananchi-0612141 (1).jpg
 
Huyu kipanya kwa katuni zenye maana nzito ni hatari. Sasa hapo vijisamaki vidogo vidogo vyamfuata samaki PAPA lenyewe.
Message delivered.
 
lowassa samaki mkubwa magufuli dagaa tu
 
Kipanya janja sana huyu jamaa.
Hiyo katuni ina maana mbili tofauti kabisa, ngoja nianze kuzi fafanua....
1- Kamaanisha fisadi papa katika ubora wake akiimiliki bahari huku samaki wadogo wasiweze kum-babaisha.
2- Kamaanisha papa katika ubora wake akiweza kutawala bahari pasipo kuhofia samaki wadogo
 
Kipanya janja sana huyu jamaa.
Hiyo katuni ina maana mbili tofauti kabisa, ngoja nianze kuzi fafanua....
1- Kamaanisha fisadi papa katika ubora wake akiimiliki bahari huku samaki wadogo wasiweze kum-babaisha.
2- Kamaanisha papa katika ubora wake akiweza kutawala bahari pasipo kuhofia samaki wadogo

Katika hili we ndo mjanja
 
Katika hili we ndo mjanja

Nahisi kipanya kajitunzia akiba ya maneno hivi.....
Akishinda Lowasa, atamfuata na kumwambia vile alivyo mchora na akiamini kwamba yeye ndie King of the Sea.
Na......
Akishindwa Lowasa, ataweza kumfuata mpinzani wa Lowasa na akim-beza kwa kushindwa pamoja na kujiona kama King of the Sea
 
Anamaanisha mkubwa ni mkubwa tu hata ufanyeje unajisumbua!
 
katuni zina uharisia Zaidi ya maneno kama ilivyo picha.sikuzote picha inabeba habari Zaidi ya maneno
kwa hili masoudi yaweza kuwa ana tuambia hivi
1.bado manvi ni tishio kwa wagombea wote........pamoja na hila zote za wapinzani wake ikumbukwe huyu ndiye mwenye wapinzani wengi
2.bado nafasi yake ni kubwa na upande huu kama ilivyokuwa upande wa kwanza
 
Bule.mbo ni hako kasamaki kanajaribu kumdonoa lowasa kwny paji la uso kujaribu kumzuia
 
Na Lowasa kwa tabia yake ya kusonga mbele bila kuwajibu unaweza kuitafsiri kupitia mdomo wa samaki mamvi, angeweza kuvimeza visamaki vidogo lakini kafunga mdomo tu
 
Back
Top Bottom