Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Si aliomba kupunguziwa urefu wa hicho cha mbele, basi kwa bahati mbaya Masoud akampa hiyo tenda scorpion, ndio ikatokea tobo hapo!Ilo tobo kichwani vipi
Halafu hilo shimo linaonesha kichwani kwa Mkulu hakuna kitu.
Hahahaaaa hapo ndipo ninapomkubari catalyst.
Ndio maana kule jukwaa la Siasa huwa silalamikii maamuzi ya mkurupuko.....coz ninajua sababu ni nini.Hahahahahaha lol! 🙂🙂🙂
Unamchukia wewe na nani?Tunamchukia sana kipanya kwa kumchora vibaya rais wetu.
Teh! Teh! Teh! Umetisha mkuu hata Kipanya hakufikii!Si aliomba kupunguziwa urefu wa hicho cha mbele, basi kwa bahati mbaya Masoud akampa hiyo tenda scorpion, ndio ikatokea tobo hapo!
Ninapo mkubali= ninapomkubali
Ninapo mkubali.= ninapomkubali
Sidhani kama ni tobo mkuu.. Hiyo ni alama ya kama kitu kilichopigwa kikaingia ndani..i.e kusawazishwa!Mh!! Lile tobo linamaanisha nini tena!!!!!!
Safi sana naona leo umezaa nae huyo mjane!Ninapo mkubali.
Mkosoaji anapokosolewa ni bora aache kukosoa.