masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,906
- 15,148
hujaenda dodoma kwenye vikao vyenu??View attachment 109201
Katika pita pita zangu huko nji nyingine , nimekuta ingalau barabara safi, hakuna mashimo, tena ni two-way-two-lane.
Nikabaki kujisikikia miye.
Naomaba anayeweza kuniambia hapa ni waji nimpe huo mji.
Ha ha ha !hujaenda dodoma kwenye vikao vyenu??
Kweli mkuu lakini sauzi kubwa na ndio mana nikatoa changamoto.......kama ni chemsha bongo ushapata kengele!!!!picha yenyewe ukiifungua imeandikwa south african trip halafu bado unauliza swali
Kweli mkuu lakini sauzi kubwa na ndio mana nikatoa changamoto.......kama ni chemsha bongo ushapata kengele!!!!
Vipi masopyakindi ulipeleka mzigo nini, manake punda sio wasanii tu!!
Asatafullahi!!!Vipi masopyakindi ulipeleka mzigo nini, manake punda sio wasanii tu!!
hujaenda dodoma kwenye vikao vyenu??
Bosi wewe kweli umepatia kwa asilimia mia moja!!!Aah Mkuu, acha hizo. Sie tutajuaje hapo ni wapi kabisa, maana magari yanatembea. Hata hivyo, uki zoom hiyo picha utaona hizo gari mbili zina namba zifuatazo: CH 43RB GP na TLB 598 GP
Sasa ninavyoelewa mimi Bondeni wana namba za magari za majimbo, na GP kwenye hizo namba inasimamia "Gauteng Province" ambako ndiko mji wa Johannesburg upo. Kwa mantiki hiyo basi lazima hapo ni Johannesburg.
Na pia utaona huo mtaa unaitwa Christian Dube. Hivyo hapo ni Soweto, karibu na Mmesi Park.
Ila Mkuu, kwa kuwa hii picha imepigwa toka ndani ya gari, naona ulitaka tu kutufahamisha kwamba ulikuwa Bondeni au bado uko Bondeni. Unatafuta nini Soweto? Sema tu Mkuu, sie hatuna hiana, ili mradi usiwe kwenye kale ka biashara kanakomsumbua Mwakyembe!
Hongera sana kwa kwenda Bondeni Vp Masogange hajambo?
Maana wabongo kwa kujifanya mna akili kuliko wenzenu mko juu.