Mason Mount apata majeraha, ataikosa mechi dhidi ya Arsenal

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Kiungo huyo wa Manchester United, Mason Mount anatarajiwa kuwa nje ya Uwanja kwa muda wa Mwezi mmoja baada ya kuumia katika mchezo uliopita dhidi ya Tottenham.

Mount ambaye alisajiliwa kwa Pauni Milioni 60 pia atakosa mechi za timu ya Taifa ya England dhidi ya Ukraine na Scotland.

Majeraha hayo ni pigo kwa United ambayo pia inaendelea kumkosa mshambuliaji mpya kikosini hapo Rasmus Hojlund ambaye ana changamoto ya mgongo.


#######


Mason Mount ruled out until the international break with the Man United star set to miss Nottingham Forest and Arsenal clashes

Manchester United were dealt a blow after it emerged Mason Mount will be out injured until next month.

The £60million summer signing suffered an issue during the 2-0 defeat by Tottenham on Saturday and he will be missing until after the international break.

Mount is also expected to sit out England's European Championship qualifiers against Ukraine on September 9 and Scotland three days later.

The 24-year-old has started both of United's two Premier League games during an inauspicious opening to the campaign for the club - with new striker Rasmus Hojlund yet to appear due to a back complaint.

United, who host Nottingham Forest on Saturday, believe the issue with Mount is not overly serious.

Source: DailyMail
 
Mashabiki wa Man U bila shaka watashukuru tu. Maana mchango wake kwenye timu bado ni wa kawaida sana mpaka wakati huu.
Katika game zote mbili alizocheza mpaka sasa alikua analuka luka tu uwanjani. Ila tumpe muda maana game zote almost timu nzima ilikua ovyo alafu man u kaanza na timu ambazo siku zote huwa zinamsumbua
 
Back
Top Bottom