Masomo yaanza chuo kikuu cha Garissa

Primier

Member
Dec 16, 2015
86
14
Masomo yameanza tena katika Chuo Kikuu cha Garissa baada ya wanafunzi kurejea chuoni. Chuo hicho kilikuwa kimefungwa kwa miezi tisa kufuatia shambulio la al-Shabab mwaka jana.

Mwandishi wa BBC Angela Ng'endo alitembelea chuo hicho na kutuandalia taarifa hii.


Chanzo: BBC
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom