CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
Hello wana jukwaa.......
Natambulisha kwenu fursa ya Elimu ya ujasiriamali, nadhani hakuna haja tena ya watu kukaa tu bila kujishughulisha...
Mimi ni mhitimu mtegemewa kutoka chuo kikuu SUA, baadhi ya watu walioko Morogoro wameshafaidika, ila tuna lengo la kusambaa maeneo yote ya Tanzania hasa vijijini. Watakaopenda kushirikiana nasi katika kutokomeza umaskini au ku fund hduma hii ungana nasi [url]www.facebook.com/JitaMobileSchool[/URL]
MAMBO TUNAYOFUNDISHA
1. Usindikaji wa baadhi ya vyakula
2. Batik aina zote
3. Sabuni aina zote
4. Chaki
5. mishumaa
NK.....Bila kusahau,
}}}}}Elimu ya Ujasiriamali na Dhana nzima ya kujitambua ambayo ndiyo elimu kubwa na muhimu kabla ya kuanza project yoyote. Kwwani hata kama mtu utampatia MIKOPO bila Elimu ya kujitambua (change of attitude) utamfunga.
PIA TUNAUZA BATIK KWA JUMLA na REJAREJA.
Tuna VITABU vinavyoeleweka vizuri ila haviuzwi kwa mtu ambaye hajapata mafunzo na VITABU vya kubadlisha mtazamo vya lugha ya kiswahili pia vipo.
wasiliana nasi:
255 (0) 752 698 691 au 255 (0) 658 698 691..Email: jaymuta@gmail.com na FACEBOOK hapo juu.
"IF U DON'T DESIGN YOUR OWN LIFE PLAN, U WILL FALL INTO SOMEONE'S PLAN"..........Jim Rohn
Hello wana jukwaa.......
Natambulisha kwenu fursa ya Elimu ya ujasiriamali, nadhani hakuna haja tena ya watu kukaa tu bila kujishughulisha...
Mimi ni mhitimu mtegemewa kutoka chuo kikuu SUA, baadhi ya watu walioko Morogoro wameshafaidika, ila tuna lengo la kusambaa maeneo yote ya Tanzania hasa vijijini. Watakaopenda kushirikiana nasi katika kutokomeza umaskini au ku fund hduma hii ungana nasi [URL="http://www.facebook.com/JitaMobileSchool"]www.facebook.com/JitaMobileSchool[/URL]
MAMBO TUNAYOFUNDISHA
1. Usindikaji wa baadhi ya vyakula
2. Batik aina zote
3. Sabuni aina zote
4. Chaki
5. mishumaa
NK.....Bila kusahau,
}}}}}Elimu ya Ujasiriamali na Dhana nzima ya kujitambua ambayo ndiyo elimu kubwa na muhimu kabla ya kuanza project yoyote. Kwwani hata kama mtu utampatia MIKOPO bila Elimu ya kujitambua (change of attitude) utamfunga.
PIA TUNAUZA BATIK KWA JUMLA na REJAREJA.
Tuna VITABU vinavyoeleweka vizuri ila haviuzwi kwa mtu ambaye hajapata mafunzo na VITABU vya kubadlisha mtazamo vya lugha ya kiswahili pia vipo.
wasiliana nasi:
+255 (0) 752 698 691 au +255 (0) 658 698 691..Email: jaymuta@gmail.com na FACEBOOK hapo juu.
"IF U DON'T DESIGN YOUR OWN LIFE PLAN, U WILL FALL INTO SOMEONE'S PLAN"..........Jim Rohn
Tunashukuru bwana Chasha kwa kutukosoa, Uko sahihi lakini hiyo ni lugha ya matangazo na iliyozoeleka kwa wengi, otherwise hutapata walengwa kama utanyoosha lugha wakati huo walengwa watadhani sio wao. Lugha za matangazo na lugha rasmi zinatofautiana. Ahsante kwa kuwa nasi..............
IDEAS ARE IMPORTANT BUT NOT AS IMPORTANT AS MAKING THINGS HAPPEN!!!
Hapo kwenye bold,hizo ni dawa gani? Funguka mkuu.PATA MAFUNZO YA BATIK na TIE & DYE BURE
Jinsi ya kutengeneza BATIK YA TIE & DYE
Chemsha maji lita 1
§ Pima dawa pamoja na rangi
§ Weka maji ya moto kwenye dawa
§ Koroga ili iyeyuke
§ Chovya kitambaa kwenye rangi ile sehemu iliyofungwa kwa ajili ya ua lako
§ Kitoe na kiache kwa takribani dakika 5 hadi 15
§ Fungua kamba na suuza kwa kutumia maji yenye sabuni ya maji yenye soda ash ili kusaidia rangi kujishikiza vizuri isichuje.
§ Anika, piga pasi, tayari kwa kupeleka sokoni.
kwa masomo haya na mengine, Email me: jitamobile4u@gmail.com
:A S-key::A S-key::A S-key:ELIMU YA UJUZI ni MKOMBOZI.:A S-key::A S-key::A S-key:
Mkuu ila Naomba niwakosoe Kidogo, Kwanza kuhusu Dhana nzima ya Ujasirimali, nazani utakubliana na mimi kwamba Ujasirimali hauwezi kufundishwa, na hakuna Chuo hapa Duniani kinacho fundiha mtu kuwa mjasirimali, hapo ndo tunapo kosea,
Kuna vyuo vya kufundisha Skills za ujsirima au Biashara ila si vy kufundisha Mtu kuwa mjasirimali,
Spirit ya Ujasirimali ambayo ndo Driving force haiwezi fundishwa, na hii ndo driving force ya mtu kuwa mjasirimali bila hii ni uongo, wewe hujiulizi kuna watu wana Phd za Entreprenership lakini wameajiriwa? na wanaogopahata kunanzisha kibanda cha kuchajishia simu,
Tanzania watu wana lack Entreprenership Spirt na bila hii hata ukihudhuria semina 1000 ni sawa na bure, na hii spirit mara nyingi watu huzaliwa nayo, Born Entrepreners,
So Entrepreners ar Born and not Made, na hata kama anatokea baada ya Mtu kufundishwa kitu fulan na akaamua kuwa mjasirimali still ni lazima alikuwa na Sleeping Entreprenership Spirit,
Caustic soda na sodium hydrosulphiteHapo kwenye bold,hizo ni dawa gani? Funguka mkuu.
Nilisha wahi kujitolea kutoa training ya business skills bure kabisa, Lakini cha ajabu washriki waliniambia niwalipe, nilicho fanya nilifunga mafunzo na tangu siku hiyo sikufaya tena,