Excellent Training Center
Member
- Aug 9, 2017
- 65
- 24
Baada ya kufanya vizuri matokeo ya QT na Resitters mwaka 2017, sasa tunaendelea kusajili wanafunzi wapya wa QT na Resitters, njoo ukutane na walimu wazoefu na wenye taaluma za ualimu. Tupo Upanga Mashariki karibu na Zanaki Secondary. Wasiliana nasi kwa simu hii 0676450289 au excellenttrainingcentre20@gmail.com. Masomo yapo ya asubuhi na jioni kwa wafanyakazi!!